MFARANSA Didier Gomes Da Rosa ni miongoni mwa makocha waliozuiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kufanya kazi katika mashindano yote yanayoandaliwa na bodi hiyo ya kandanda barani.
Hiyo ni kutokana na kuwa miongoni mwa limetoa makocha wa klabu ambao hawana leseni za CAF A au UEFA Pro.
Hiyo ni kutokana na kuwa miongoni mwa limetoa makocha wa klabu ambao hawana leseni za CAF A au UEFA Pro.
ORODHA KAMILI YA MAKOCHA WALIOPIGWA STOP CAF
Didier Gomes (UEFA A Diploma) 🇹🇿 Simba SC
Erradi Mohamed Adil (UEFA Advanced Diploma) 🇷🇼 APR
Bosa Wasswa (CAF B) 🇺🇬 Express FC (To be replaced)
Diego Garzitto (UEFA A) 🇸🇩 El Merreich SC
Comlan Mathias (German License) 🇧🇯 ESAE FC
Pascal Lafleurial (UEFA Elite Youth A) 🇨🇫 DFCB
Roque Sapir (CAF C Diploma) 🇦🇴 GD Sagrada Esperança
Ame Khamis (CAF B) (🇹🇿) KMKM
Abalo Jean-Paul (UEFA A) 🇹🇬 ASKO
0 comments:
Post a Comment