SHIRIKISHO la SOKA Afrika (CAF) limesistiza kutoruhusu mashabiki katika mechi ya marudiano ya Raundi ya Awali Kombe la Shirikisho barani baina ya wenyeji, Biashara United ya Mara na FC Dikhil Jumamosi Saa 1:00 usiku Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam. Biashara United wanahitaji kuulinda ushindi wao wa ugenini wa 1-0 ili Djibouti ili kusonga mbele ambako watakutana na mshindi kati ya ya Hay Alwady Nyala ya Sudan na Al Ahli Tirpoli ya Libya.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment