BAO pekee la mshambuliaji wa kimataifa wa Gabon, Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 66 jana limetosha kuipa Arsenal FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Norwich City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates Jijini London – huo ukiwa ushindi wa kwanza baada ya The Gunners kupoteza mechi tatu za awali (0-2 Brentford, 0-2 Chelsea, 0-5 Manchester City).
Video: LeBron James Episode of 'New Heights' Podcast Teased By Travis,
Jason Kelce
-
One Cleveland legend will join two other Cleveland legends on their podcast
on Wednesday. Los Angeles Lakers star LeBron James is set to make an
appearance...
34 minutes ago
0 comments:
Post a Comment