
Thursday, September 30, 2021

WENYEJI, Manchester United wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Villarreal katika mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwa...
LEWANDOWSKI APIGA MBILI, BAYERN YASHINDA 5-0
Thursday, September 30, 2021
WENYEJI, Bayern Munich wameibuka na ushindi wa 5-0 dhidi ya Dynamo Kyiv katika mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja...
BARCELONA YAPIGWA TENA LIGI YA MABINGWA
Thursday, September 30, 2021
WENYEJI, Benfica wamewatandika Barcelona mabao 3-0 katika mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Luz Jijini Lisbon...
JUVENTUS YAICHAPA CHELSEA 1-0 TORINO
Thursday, September 30, 2021
WENYEJI Juventus jana wameutumia vizuri Uwanja wa nyumbani, Allianz Jijini Torino baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Chelsea katika mchezo wa ...
Wednesday, September 29, 2021
MWANAHAMISI ANG’ARA, TWIGA YASHINDA COSAFA
Wednesday, September 29, 2021
MSHAMBULIAJI Mwanahamisi Omary Shaluwa leo amechaguliwa mchezaji bora wa mechi dhidi ya Zimbabwe akiiwezesha Tanzania kushinda 3-0 katika mc...
YANGA YAANZA VYEMA LIGI KUU
Wednesday, September 29, 2021
BAO pekee la kiungo Mzanzibari, Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’ dakika ya 24 limeipa mwanzo mzuri Yanga SC katika Ligi a Kuu ya Tanzania Ba...
PACQUIAO AJIUZULU NGUMI BAADA YA MIAKA 26
Wednesday, September 29, 2021
GWIJI wa ngumi, Manny Pacquiao ametangaza kustaafu mchezo huo baada ya miaka 26 ulingoni akicheza mapambano 72 na kushinda mataji 12. Hatua...
MO DEWJI AJIUZULU UENYEKITI SIMBA SC
Wednesday, September 29, 2021
BILIONEA mwenye asili ya Kiasia, Mohamed ‘Mo Dewji’ ametangaza kujiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya Simba SC na kubaki mwekezaji pekee kwa umiliki...
BIASHARA UNITED 0-0 SIMBA SC (LIGI KUU MUSOMA)
Wednesday, September 29, 2021
MESSI AWABAMIZA MAN CITY PARIS
Wednesday, September 29, 2021
MABAO ya Idrissa Gueye dakika ya nane na Lionel Messi dakika ya 74 jana yamewapa wenyeji, Paris Saint-Germain ushindi wa 2-0 dhidi ya Manche...
LIVERPOOL YAICHAPA PORTO 5-1 URENO
Wednesday, September 29, 2021
WENYEJI, FC Porto jana wamechapwa mabao 5-1 na Liverpool katika mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Do Dragão Jijini Porto, U...
REAL MADRID YACHAPWA BERNABEU
Wednesday, September 29, 2021
WENYEJI, Real Madrid wamechapwa 2-1 na FK Sheriff Tiraspol katika mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Santiago ...
Tuesday, September 28, 2021
BOCCO AKOSA PENALTI, SIMBA YADROO MUSOMA
Tuesday, September 28, 2021
MABINGWA watetezi, Simba SC wamelazimishwa sare ya bila kufungana na wenyeji, Biashara United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jio...
Monday, September 27, 2021
NAMUNGO YAANZA VYEMA LIGI KUU
Monday, September 27, 2021
TIMU ya Namungo FC imeanza vyema Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Geita Gold jioni ya leo Uwanja wa Ilulu mjini Li...
YANGA WAWASILI KUIVAA KAGERA
Monday, September 27, 2021
KIKOSI cha Yanga kimewasili salama Bukoba mkoani Kagera leo baada ya kuondoka Dar es Salaam asubuhi ya leo, tayari kwa mchezo wao wa kwanza...
SIMBA WATUA MUSOMA KUIVAA BIASHARA
Monday, September 27, 2021
KIKOSI cha Simba tayari kipo Musoma mkoani Mara baada ya safari ya ndege Dar-Mwanza na basi Mwanza- Musoma tayari kwa mchezo wake wa ufunguz...
MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA SUNDAY MANARA
Monday, September 27, 2021
POULSEN AMREJESHA MKUDE TAIFA STARS
Monday, September 27, 2021
KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen ametaja kikosi cha wachezaji 25 kwa ajili ya mchezo wake wa tatu wa Kundi J kufuzu Kombe la Dunia dhi...
ARSENAL YAITANDIKA SPURS 3-1 EMIRATES
Monday, September 27, 2021
WENYEJI, Arsenal wameibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Tottenham Hotspur katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Jumapili Uwanja wa Emirates Jij...
Sunday, September 26, 2021
JOSHUA AVULIWA UBINGWA WA DUNIA
Sunday, September 26, 2021
BONDIA Anthony Joshua amevuliwa mataji yake ya ubingwa wa ngumi za kulipwa uzito wa juu baada ya kuchapwakwa poonti Oleksandr Usyk wa Ukrain...
YANGA SC 1-0 SIMBA SC (NGAO YA JAMII)
Sunday, September 26, 2021
Saturday, September 25, 2021
YANGA WAKIFURAHIA NA NGAO YAO LEO MKAPA
Saturday, September 25, 2021
WACHEZAJI wa Yanga wakifurahia na Ngao yao ya Jamii baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya mahasimu, Yanga bao pekee la mshambuliaji Mkongo, Fisto...
LIVERPOOL SARE 3-3 NA BRENTFORD
Saturday, September 25, 2021
TIMU ya Liverpool imelazimisha sare ya 3-3 na wenyeji, Brentford FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Brentford Community m...
LIGI YA CHAMPIONSHIP KUANZA OKTOBA 2
Saturday, September 25, 2021
BODI ya Ligi Kuu imetoa ratiba ya Ligi ya Ubingwa, ijulikanayo kama Championship kuwania kupanda Ligi Kuu ambayo itaanza Oktoba 2 nchini.
TANZANITE YAICHAPA ERITREA 3-0 ASMARA
Saturday, September 25, 2021
TIMU ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 20, Tanzanite imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wenyeji, Eritrea leo Uwanja wa As...
YANGA YAICHAPA SIMBA 1-0 BAO LA MAYELE
Saturday, September 25, 2021
BAO pekee la mshambuliaji Mkongo, Fiston Kalala Mayele limetosha kuipa Yanga SC ushindi wa 1-0 katika mechi ya Ngao ya Jamii jioni hii Uwanj...
MAN CITY YAICHAPA CHELSEA DARAJANI
Saturday, September 25, 2021
BAO pekee la Gabriel Jesus dakika ya 53 akimalizia pasi ya João Cancelo limewapa Manchester City ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Chelsea l...
BRUNO AKOSA PENALTI, MAN U YAPIGWA
Saturday, September 25, 2021
KIUNGO Mreno, Bruno Fernandes amekosa penalti dakika ya 90 na ushei, Manchester United ikichapwa 1-0 nyumbani na Aston Villa bao pekee la Ko...
Friday, September 24, 2021
KAZE, ZAHERA WAREJESHWA YANGA SC
Friday, September 24, 2021
UONGOZI wa klabu ya Yanga umemrejesha Mrundi, Cedric Kaze kuwa Kocha Msaidizi ws klabu hiyo chini ya Mtunisia, Nasreddine Nabi. Kazi alikuwa...
AFRICARIERS MDHAMINI MPYA SIMBA SC
Friday, September 24, 2021
KLABU ya soka ya Simba SC imeingia mkataba wa miaka minne wa udhamini wa usafiri wa ardhini na kampuni ya Africariers Limited utakaoiwezesha...
OMOG KOCHA MPYA MTIBWA
Friday, September 24, 2021
KLABU ya Mtibwa Sugar imemtangaza Mcameroon Joseph Marius Omog kuwa kocha wake mpya kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Mcamer...
TAJIRI GHALIB NA MAKOCHA YANGA
Friday, September 24, 2021
MFADHILI Mkuu wa klabu ya Yanga, Ghalib Said Mohamed akipata chakula na viongozi na Makocha wa timu hiyo, Mtunisia Nasreddine Nabi, Mkongo M...
Thursday, September 23, 2021
MO AWAIBUKIA WACHEZAJI MAZOEZINI
Thursday, September 23, 2021
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Mohammed Dewji leo ametembelea mazoezi ya timu Uwanja wa Mo Simba Arena kuelekea mchezo wa Ng...
Subscribe to:
Posts (Atom)