// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
YANGA SC YAANZA NA SARE YA 1-1 KOMBE LA KAGAME IKIWA PUNGUFU DHIDI YA BIG BULLET YA MALAWI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEYANGA SC YAANZA NA SARE YA 1-1 KOMBE LA KAGAME IKIWA PUNGUFU DHIDI YA BIG BULLET YA MALAWI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
YANGA SC YAANZA NA SARE YA 1-1 KOMBE LA KAGAME IKIWA PUNGUFU DHIDI YA BIG BULLET YA MALAWI
WENYEJI, Yanga SC wamelazimishwa sare ya 1-1 na Nyasa Big Bullet ya Malawi katika mchezo wa ufunguzi wa Kundi A Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Yanga ilitangulia kwa bao la mshambuliaji Waziri Junior dakika ya nane kwa kichwa akimalizia krosi ya mchezaji mpya, Dickson Ambundo kutoka Dodoma Jiji FC. Na Nyasa Big Bullet wakasawazisha dakika ya 30 kwa penalti ya Chiukepo Msowoya kufuatia beki Abdallah Shaibu 'Ninja' kumchezea vibaya Mnigeria, Babatunde Aderpoje. Yanga SC ilimaliza pungufu baada ya kipa wake, Ramadhan Awam Kabwili kutolewa kwa kadi nyekundu kufuatia kumuangusha Hassan Kajoke kwenye boksi dakika ya 89.
Kayla Rendell signs for United Women
-
The 23-year-old goalkeeper joins from Southampton, becoming our women's
team's first signing of the winter window.
Preview: Arsenal vs Bristol City Women
-
Our Gunners are set to commence their Women's FA Cup journey with a
fourth-round clash against Bristol City Women on Sunday
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment