// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
YANGA SC WALIVYOONDOKA KWENDA MOROCCO KUWEKA KAMBI YA KUJIANDAA NA MSIMU MPYA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEYANGA SC WALIVYOONDOKA KWENDA MOROCCO KUWEKA KAMBI YA KUJIANDAA NA MSIMU MPYA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
YANGA SC WALIVYOONDOKA KWENDA MOROCCO KUWEKA KAMBI YA KUJIANDAA NA MSIMU MPYA
KIKOSI cha Yanga kimeondoka leo kwenda Morocco kuweka kambi ya kujiandaa na msimu hadi itakaporejea kwa ajili ya tamasha la Kilele cha Wiki ya Mwananchi Agosti 29. Yanga imeondoka baada ya kutambulisha wachezaji wapya tisa, ambao ni makipa Eric Johola (Aigle Noir), Djigui Diarra (Stade Malien), beki wa kushoto, David Bryson (KMC ) na beki wa kulia Djuma Shabani (AS Vita). Wengine ni winga wa kulia, Jesus Moloko (AS Vita), winga wa kushoto, Dickson Ambundo (Dodoma Jiji FC), washambuliaji Yussuf Athumani (Biashara United), Fiston Mayele (AS Vita) na Heritier Makambo (Horoya).
Uganda U17 Boys Face Kenya in Group A Finale
-
The Uganda U17 Boys National Team is bracing for one of the most pivotal
matches in their campaign as they take on familiar rivals Kenya in the
final Gro...
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment