MAKIPA wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwa mazoezini leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam baada ya kuingia kambini leo kujiandaa na michezo ya kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Septemba 2 mjini Lubumbashi na Madagascar Septemba 7 nyumbani.
Usyk's narrow win over Fury in pictures
-
All the best pictures from Oleksandr Usyk's narrow victory over Briton
Tyson Fury in their thrilling rematch.
10 minutes ago
0 comments:
Post a Comment