// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SIMBA SC YASAJILI WINGA HATARI WA KUSHOTO MSENEGAL KUTOKA KLABU YA TEUNGUETH YA KWAO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SIMBA SC YASAJILI WINGA HATARI WA KUSHOTO MSENEGAL KUTOKA KLABU YA TEUNGUETH YA KWAO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, August 14, 2021

    SIMBA SC YASAJILI WINGA HATARI WA KUSHOTO MSENEGAL KUTOKA KLABU YA TEUNGUETH YA KWAO


    KLABU ya Simba imemtambulisha winga wa kushoto Msenegal, Papa Ousmane Sakho mwenye umri wa miaka 24 kutoka Teungueth Rufisque ya kwao kuwa mchezaji wake mpya wa nne kuelekea msimu ujao.
    Sakho anakuwa mchezaji mpya wa nne dirisha hili baada ya mawinga wengine, mzawa Yussuf Mhilu kutoka Kagera Sugar ya Bukoba na Mmalawi, Peter Banda kutoka Nyasa Big Bullet ya kwao, Blantyre.
    Simba SC ambayo tayari ipo kambini nchini Morocco kujiandaa na msimu mpya pia imemsajili kiungo Mmalawi, Duncan Nyoni kutoka Silver Strikers ya kwao, Lilongwe.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC YASAJILI WINGA HATARI WA KUSHOTO MSENEGAL KUTOKA KLABU YA TEUNGUETH YA KWAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top