// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
SIMBA NA YANGA KUKUTANA SEPTEMBA 25, MWAKA HUU KATIKA MECHI YA NGAO YA JAMII UWANJA WA MKAPA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINESIMBA NA YANGA KUKUTANA SEPTEMBA 25, MWAKA HUU KATIKA MECHI YA NGAO YA JAMII UWANJA WA MKAPA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
SIMBA NA YANGA KUKUTANA SEPTEMBA 25, MWAKA HUU KATIKA MECHI YA NGAO YA JAMII UWANJA WA MKAPA
MECHI ya Ngao ya Jamii kuashiria upenuzi wa pazia la msimu mpya wa 2021/2022 itachezwa Septemba 25, mwaka huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam ikiwakutanisha watani wa jadi, Simba na Yanga. Mechi ya Ngao ya Jamii hukutanisha bingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara na wa Kombe la Shirikisho la Soka nchini (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC), mataji ambayo yote yalichukuliwa na Simba msimu uliopita. Lakini kwa sababu Yanga waliomaliza nafasi ya pili Ligi Kuu ndio walicheza na Simba fainali ya ASFC Julai 25 na kufungwa 1-0 mjini Kigoma ndio maana watawania Ngao ya Jamii dhidi ya watani wao wa jadi.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment