// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
RASMI YANGA SC YAMREJESHA HERITIER MAKAMBO MISIMU MIWILI TANGU IMUUZE KLABU YA HOROYA YA GUINEA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINERASMI YANGA SC YAMREJESHA HERITIER MAKAMBO MISIMU MIWILI TANGU IMUUZE KLABU YA HOROYA YA GUINEA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
RASMI YANGA SC YAMREJESHA HERITIER MAKAMBO MISIMU MIWILI TANGU IMUUZE KLABU YA HOROYA YA GUINEA
KLABU ya Yanga imemtambulisha mshambuliaji Mkongo, Heritier Ma Olongi Makambo anayerejea nyumbani baada ya misimu miwili tangu auzwe Horoya AC ya Guinea. Makambo anakuwa mchezaji wa tatu mpya kutambulishwa kuelekea msimu ujao baada ya washambuliaji wengine wawili, mzawa Yussuf Athumani kutoka Biashara United ya Mara na Mkongo, Fiston Kalala Mayele kutoka AS Vita ya kwao, Jamhuri ya Kidemokrasian ya Kongo (DRC). GONGA HAPA KUTAZAMA VIDEO
Item Reviewed: RASMI YANGA SC YAMREJESHA HERITIER MAKAMBO MISIMU MIWILI TANGU IMUUZE KLABU YA HOROYA YA GUINEA
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment