RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe amevutiwa na mradi wa ujenzi wa Kituo cha Michezo cha soka cha Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kilichopo Kigamboni, Dar es Salaam.
Motsepe, mmiliki wa Mamelodi Sundwons ya kwao, Afrika Kusini yuko nchini na pamoja Bilionea huyo kukutana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Jijini Dodoma kwa mazungumzo, pia jana alihudhuria Fainali ya Kombe la Kagame.

Naye Mwenyekiti wa BMT, Leodegar Tenga amezungumzia Ujenzi wa kituo hicho na kile cha Mnyanjani, Tanga.
0 comments:
Post a Comment