WENYEJI, Wolverhampton Wanderers wameshindwa kutumia vizuri Uwanja wa nyumbani, Molineux baada ya kuchapwa 1-0 na Manchester United leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England mjini Wolverhampton.
Kwa ushindi huo uliotokana na bao pekee la mshambuliaji wa kimataifa wa England, Mason Greenwood dakika ya 80, Man United inafikisha pointi saba baada ya mechi tatu.
Kwa ushindi huo uliotokana na bao pekee la mshambuliaji wa kimataifa wa England, Mason Greenwood dakika ya 80, Man United inafikisha pointi saba baada ya mechi tatu.
0 comments:
Post a Comment