• HABARI MPYA

        Thursday, August 19, 2021

        KOCHA NA MCHAMBUZI KASHASHA AFARIKI DUNIA

         

        KOCHA na Mchambuzi maarufu wa soka nchini, Alex Kashasha maarufu Mwalimu Kashasha amefariki dunia leo Agosti 18, 2021 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Kairuki Jijini Dar es Salaam.



        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: KOCHA NA MCHAMBUZI KASHASHA AFARIKI DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry