// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
EXPRESS YA UGANDA YATINGA FAINALI KOMBE LA KAGAME BAADA YA KUICHAPA KMKM YA ZA ZANZIBAR 2-1 USIKU HUU CHAMAZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEEXPRESS YA UGANDA YATINGA FAINALI KOMBE LA KAGAME BAADA YA KUICHAPA KMKM YA ZA ZANZIBAR 2-1 USIKU HUU CHAMAZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
EXPRESS YA UGANDA YATINGA FAINALI KOMBE LA KAGAME BAADA YA KUICHAPA KMKM YA ZA ZANZIBAR 2-1 USIKU HUU CHAMAZI
TIMU ya Express ya Uganda imefanikiwa kwenda Fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kombe la Kagame baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya KMKM ya Zanzibar leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Mabao ya Express yamefungwa na Muzamil Mutyaba dakika ya 56 na Eric Kambale dakika ya 90, wakati la KMKM limefungwa na Ibrahim Abdallah dakika ya 45. Sasa Tai Wekundu wa Kampala watakutana na mshindi wa Nusu Fainali ya pili kesho baina ya wenyeji, Azam FC na Nyasa Big Bullet ya Malawi hapo hapo Chamazi na fainali itafanyika Jumamosi.
Item Reviewed: EXPRESS YA UGANDA YATINGA FAINALI KOMBE LA KAGAME BAADA YA KUICHAPA KMKM YA ZA ZANZIBAR 2-1 USIKU HUU CHAMAZI
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
Nsoatreman FC will come good - Yaw Preko assures
-
Nsoatreman FC head coach, Yaw Preko, has assured that the club will come
good despite their struggle in the ongoing 2024/25 Ghana Premier
League season. ...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment