// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); CLATOUS CHAMA NA TUISILA KISINDA WOTE KUCHEZA TIMU MOJA MSIMU UJAO, RSB BERKANE YA MOROCCO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE CLATOUS CHAMA NA TUISILA KISINDA WOTE KUCHEZA TIMU MOJA MSIMU UJAO, RSB BERKANE YA MOROCCO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, August 13, 2021

    CLATOUS CHAMA NA TUISILA KISINDA WOTE KUCHEZA TIMU MOJA MSIMU UJAO, RSB BERKANE YA MOROCCO


    KIUNGO Mzambia, Clatous Chama na winga Mkongo, Tuisila Kisinda watacheza timu moja msimu ujao, RSB Berkane ya Morocco.
    Wawili hao wote wanatokea klabu za Tanzania, Chama SC na Kisinda Yanga SC ambao ni wapinzani wa jadi na wakati wowote klabu hizo zitatangaza rasmi kuwatoa.
    Bado Simba ipo kwenye hatua za mwisho pia za kumuuza nyota wake kutoka Msumbiji, Luis Miquissone kwenda Al Ahly ya Misri, wakati kiungo Mkongo wa Yanga, Tonombe Mukoko anaweza kuondoka pia.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CLATOUS CHAMA NA TUISILA KISINDA WOTE KUCHEZA TIMU MOJA MSIMU UJAO, RSB BERKANE YA MOROCCO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top