// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); BINTI WA 'KITANZANIA' ASHINDA MEDALI YA DHAHABU OLIMPIKI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BINTI WA 'KITANZANIA' ASHINDA MEDALI YA DHAHABU OLIMPIKI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, August 03, 2021

    BINTI WA 'KITANZANIA' ASHINDA MEDALI YA DHAHABU OLIMPIKI

    BINTI Mjerumani mwenye asili ya Tanzania, Malaika Mihambo ameshinda Medali ya Dhahabu kwenye Kuruka Mbali (Long Jump) katika michezo ya Olimpiki inayoendelea Jijini Tokyo, Japan mapema leo.
    Malakia mwenye umri wa miaka 27, ameruka umbali wa mita 7 akifuatiwa na mkongwe wa Marekani, Brittney Reese aliyechukua Medali ya Fedha na Mnigeria, Ese Brume aliyeondoka na Medali ya Shaba baada ya wote kuruka umbali wa mita 6.97.
    Mihambo aliyeshinda ubingwa wa dunia mwaka 2019 na kushika nafasi ya nne Olimpiki ya 2016 – anazaliwa na mama Mjrumani na baba Mtanzania.
    Kwa ushindi huo, Malaika kwa sasa ndiye bingwa wa Olimpiki, Ulaya na Dunia katika Long Jump.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BINTI WA 'KITANZANIA' ASHINDA MEDALI YA DHAHABU OLIMPIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top