// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
BIASHARA UNITED YASAJILI MSHAMBULIAJI MKENYA NA WENGINE WAZAWA WAWILI KUIMARISHA KIKOSI CHAKE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEBIASHARA UNITED YASAJILI MSHAMBULIAJI MKENYA NA WENGINE WAZAWA WAWILI KUIMARISHA KIKOSI CHAKE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
BIASHARA UNITED YASAJILI MSHAMBULIAJI MKENYA NA WENGINE WAZAWA WAWILI KUIMARISHA KIKOSI CHAKE
KATIKA kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu ujao, wawakilishi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, Biashara United ya Mara imemsajili mshambuliaji Mkenya, Tayo Odongo Mathew kutoka Zoo FC ya kwao. Pamoja na huyo imemsajili mshambuliaji wa zamani wa Njombe Mji FC, Notikeli John Masasi na Anicet Revocatus Kezilahabi kutoka Mwadui FC wanaoungana na mshambuliaji Atuepele Green Jackson kutoka Geita Gold kufanya idadi ya wachezaji wapya wanne hadi sasa. Ikumbukwe Biashara United imeacha wachezaji 14, mbali ya wale ambao wanaondoka akiwemo Yussuf Athumani aliyejiunga na Yanga.
Item Reviewed: BIASHARA UNITED YASAJILI MSHAMBULIAJI MKENYA NA WENGINE WAZAWA WAWILI KUIMARISHA KIKOSI CHAKE
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment