• HABARI MPYA

        Monday, August 16, 2021

        AZAM FC YAMTAMBULISHA DK JONAS TIBOROHA KUWA MKURUGENZI WA SOKA PAMOJA NA KUZINDUA KAULIMBIU YAO YA MSIMU


        OFISA Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat', akimtambulisha Dk. Jonas Tiboroha, kuwa Mkurugenzi wa Mpira wa timu hiyo leo Jijini Dar es Salaam.
        Pamoja na kumtambulisha Dk Tiboroha kuwa Mkurugenzi wa Soka, Azam FC imezindua kauli mbiu ya msimu; Kimya Kimya siku mbili baada ya kuzindua nembo mpya.

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: AZAM FC YAMTAMBULISHA DK JONAS TIBOROHA KUWA MKURUGENZI WA SOKA PAMOJA NA KUZINDUA KAULIMBIU YAO YA MSIMU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry