
Tuesday, August 31, 2021

UONGOZI wa Yanga leo umemtangaza Senzo Mbatha Mazingiza, raia wa Afrika Kusini kuwa Mtendaji Mkuu wa Muda kufuatia utekelezwaji wa mfumo mpy...
SIMBA QUEENS YATOA SARE NA WAGANDA CECAFA
Tuesday, August 31, 2021
TIMU ya Simba Queens leo imetoka sare ya 0-0 na Lady Doves WFC ya Uganda Uwanja wa Moi Kasarani Jijini Nairobi nchini Kenya katika mchezo w...
STARS YAIFUATA DRC LUBUMBASHI MECHI ALHAMISI
Tuesday, August 31, 2021
BEKI wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Shomari Kapombe akiwa kwenye ndege wakati wa safari ya kwenda Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokr...
Monday, August 30, 2021
COASTAL UNION YAPATA KOCHA MMAREKANI
Monday, August 30, 2021
KLABU ya Coastal Union ya Tanga imeingia mkataba wa miaka miwili na Kocha Mmarekani, Melis Medo kuinoa timu hiyo. Medo anachukua nafasi ya ...
YANGA SC 1-2 AZAM FC (MECHI YA KIRAFIKI)
Monday, August 30, 2021
DUBE AFUNGA AZAM FC YAICHAPA KABWE 1-0 NDOLA
Monday, August 30, 2021
TIMU ya Azam FC jana imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Kabwe Worriers bao pekee la mshambuliaji Mzimbabwe, Prince Dube Mpumelelo ...
Sunday, August 29, 2021
YANGA SC WACHAPWA 2-1 NA ZANACO DAR
Sunday, August 29, 2021
WENYEJI, Yanga SC wamechapwa 2-1 na Zanaco ya Zambia katika mchezo wa kirafiki kuhitimisha tamasha la kilele cha Wiki ya Mwananchi usiku wa ...
MAN UNITED YAICHAPA WOLVES 1-0 MOLINEUX
Sunday, August 29, 2021
WENYEJI, Wolverhampton Wanderers wameshindwa kutumia vizuri Uwanja wa nyumbani, Molineux baada ya kuchapwa 1-0 na Manchester United leo kati...
CHELSEA PUNGUFU YATOA SARE 1-1 NA LIVERPOOL
Sunday, August 29, 2021
WENYEJI, Liverpool wamelazimishwa sare ya 1-1 na Chelsea katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku huu Uwanja wa Anfield. Chelsea ilimaliza...
Saturday, August 28, 2021
TORRES APIGA MBILI MAN CITY YAICHAPA ARSENAL 5-0
Saturday, August 28, 2021
MABINGWA watetezi, Manchester City wameendeleza 'mauaji' baada ya kuichapa Arsenal 5-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwan...
SIMBA QUEENS YASHINDA 4-1 MICHUANO YA CECAFA
Saturday, August 28, 2021
TIMU ya Simba Queens imeanza vyema mechi za kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake ukanda wa Afrika Mashariki baada ya ushindi wa 4-1 d...
KOFFI OLOMIDE AWASILI KUWATUMBUIZA WANA YANGA KESHO DAR
Saturday, August 28, 2021
MWANAMUZIKI nguli barani Afrika, Koffi Olomide amewasili leo Dar es Salaam kutoka kwao, Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) t...
Friday, August 27, 2021
SIMBA WAKAMILISHA KAMBI YA SIKU 17 MOROCCO
Friday, August 27, 2021
MABINGWA wa Tanzania, Simba SC wamekamilisha kambi yao ya siku 17 nchini Morocco kujiandaa na msimu mpya na wataondoka kesho kurejea Dar es...
RAIS WA TFF, KARIA AFUNGA KOZI YA GRASSROOTS DAR
Friday, August 27, 2021
RAIS Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia leo amefunga Kozi ya siku tano ya FIFA ya Grassroots iliyokua inafanyika Makao Makuu y...
CRISTIANO RONALDO KUREJEA MAN UNITED
Friday, August 27, 2021
NYOTA Mreno, Cristiano Ronaldo atarejea Manchester United kwa mkataba wa miaka miwili kutoka Juventus ya Italia. Manchester United imethibit...
CAS YASOGEZA HADI SEPTEMBA 21 KESI YA MORRISON NA YANGA
Friday, August 27, 2021
MAHAKAMA ya Usuluhishi ya Michezo (CAS) imesogeza mbele kesi ya klabu ya Yanga dhidi ya wings Mghana, Bernard Morrison hadi Septemba 21, m...
Thursday, August 26, 2021
SAKHO AFUNGA TENA SIMBA SC YATOA SARE 1-1 MOROCCO
Thursday, August 26, 2021
MABINGWA wa Tanzania, Simba SC leo wametoa sare ya 1-1 na wenyeji, Khourigba katika mchezo wa kirafiki mjini Rabat nchini Morocco. Kiungo P...
AZAM FC WAMZAWADIA JEZI MPYA BOSI KAMPUNI YA BAKHRESA
Thursday, August 26, 2021
MENEJA Mauzo na Masoko wa Azam FC, Tunga Ally, leo amemtembelea Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bakhresa Food Products, Salim Aziz na kumkabidhi zawa...
MIQUISSONE ATAMBULISHWA RASMI MCHEZAJI MPYA AL AHLY
Thursday, August 26, 2021
RASMI klabu ya Al Ahly ya Misri imemtambulisha kiungo mshambuliaji wa kimafaifa wa Msumbiji, Luis Jose Miquissone kuwa mchezaji wake mpya ...
SIMBA KUWEKA KAMBI MAREKANI MWAKANI
Thursday, August 26, 2021
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohammed Gulam Dewji amesema kwamba timu hiyo itakwenda Marekani mwakani kuweka kambi kwa mwal...
BAYERN WASHINDA 12-0 KOMBE LA UJERUMANI
Thursday, August 26, 2021
MABINGWA wa Ujerumani, Bayern Munich usiku wa Jumatano wameionea timu ya daraja la Tano nchini humo, Bremer SV baada ya kuichapa mabao 12-0 ...
AUBAMEYANG APIGA HAT TRICK, ARSENAL YAUA 6-0
Thursday, August 26, 2021
TIMU ya Arsenal usiku wa Jumatano imekonga nyoyo za mashabiki wake baada ya ushindi wa 6-0 dhidi ya wenyeji, West Bromwich Albion kwenye mch...
Wednesday, August 25, 2021
AZAM FC YACHAPWA 4-0 NA RED ARROWS NDOLA
Wednesday, August 25, 2021
TIMU ya AZAM FC imechapwa mabao 4-0 na wenyeji wao, Red Arrows katika mchezo wa kirafiki jioni ya leo Uwanja wa Levy Mwanawasa Jijini Ndola ...
YANGA SC YAZINDUA JEZI NNE ZA MSIMU MPYA
Wednesday, August 25, 2021
KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum Abdallah akionyesha jezi mpya ya nyumbani ya timu hiyo msimu ujao ambayo zimezinduliwa leo ukumbi wa Mlimani C...
PRINCE DUBE AANZA MAZOEZI MEPESI NDOLA
Wednesday, August 25, 2021
MSHAMBULIAJI Mzimbabwe wa Azam FC, Prince Dube Mpumelelo aliyekuwa majeruhi tangu Julai leo ameanza mazoezi mepesi katika kambi ya timu hiyo...
TAIFA STARS WAANZA KUJIFUA KWA AJILI YA DRC
Wednesday, August 25, 2021
MAKIPA wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwa mazoezini leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam baada ya kuingia kambini ...
UKAGUZI KIRUMBA KWA AJILI YA KOMBE LA AFRIKA
Wednesday, August 25, 2021
MENEJA wa Leseni za Klabu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jonas Kiwia akifanya ukaguzi Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza kama unakid...
Tuesday, August 24, 2021
MANARA WA SIMBA MWANA YANGA MPYA
Tuesday, August 24, 2021
ALIYEKUWA Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba, Haji Sunday Manara leo amejiunga na mahasimu wa jadi, Yanga SC. Manara a...
YANGA SC KUMENYANA NA ZANACO JUMAPILI DAR
Tuesday, August 24, 2021
VIGOGO, Yanga SC watamenyana na Zanaco ya Zambia katika mchezo wa kirafiki kwenye Kilele cha Wiki ya Mwananchi Jumapili Uwanja wa Benjamin M...
AZAM WAANZA MAZOEZI NDOLA KUJIANDAA NA MSIMU
Tuesday, August 24, 2021
WACHEZAJI wa Azam FC wakiwa mazoezini jana mjini Ndola nchini Zambia katika kambi yao ya kujiandaa msimu mpya ambyo wameanza rasmi jana.
Monday, August 23, 2021
PRISONS YASAJILI KIPA WA AZAM, MSHAMBULIAJI WA SIMBA SC
Monday, August 23, 2021
KATIKA kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, klabu ya Tanzania Prisons SC ya Mbeya imemsajili kipa Bened...
KOFFI OLOMIDE KUTUMBUIZA KILELE CHA WIKI YA MWANANCHI
Monday, August 23, 2021
MWANAMUZIKI nguli barani Afrika, Koffi Olomide atatumbuisha kwenye tamasha la klabu ya Yanga lijulikanalo kama kilele cha Wiki ya Mwananch...
SIMBA SC WANAENDELEA NA MAZOEZI YAO KAMBINI MOROCCO
Monday, August 23, 2021
BEKI wa Simba SC, Muivory Coast, Serge Wawa Pascal akifanya mazoezi na wenzake Gym mjini Rabat nchini Morocco katika kambi yao ya kujiandaa ...
RAIS SAMIAH KUDHAMINI KLABU BINGWA YA WANAWAKE CECAFA
Monday, August 23, 2021
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samiah Suluhu Hassan amekubali kudhamini michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati y...
YANGA SC WASITISHA KAMBI MOROCCO, WANARUDI LEO
Monday, August 23, 2021
KIKOSI cha Yanga SC kimesitisha kambi yake nchini Morocco kwa sababu zisizozuilika na kinaondoka leo kurejea nchini kupitia Dubai. Miongoni...
Subscribe to:
Posts (Atom)