PAMBANO la ngumi uzito wa juu baina ya Muingereza, Tyson Fury na Mmarekani Deontay Wilder lilikuwa lifanyike Julai 24 limesogezwa mbele hadi Oktoba 9, baada ya Fury kupimwa na kukutwa na virusi vya corona.
Fury atakuwa anatetea taji lake la WBC uzito wa juu baada ya kumshinda kwa TKO Wilder pambano lililopita Februari 22 mwaka jana kufuatia kutoa droo pambano la kwanza Desemba 1, 2018.

0 comments:
Post a Comment