WACHEZAJI wa timu ya Ilala Queens wakiwa na Medali zao za ubingwa wa Ligi Daraja la Kwanza Wanawake Tanzania Bara (WFDL) iliyomalizika jana nchini. Kwa kutwaa ubingwa huo, Ilala Queens wamepanda Ligi Kuu pamoja na Fountain Gate ya Morogoro
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wilfred Kidao akimkabidhi tuzo ya Mchezaji Bora wa WFDL, Jacqueline Joseph wa Ilala Queens katika fainali ya michuano hiyo iliyofanyika juzi jijini Dodoma. Kushoto ni Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu cha Wanawake Nchini (TWFA), Somoe Ng'itu na kulia ni Mkurugenzi wa Shule za Fountain Gate, Japhet Makau.
0 comments:
Post a Comment