// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
AZAM FC YASAJILI MSHAMBULIAJI MZOEFU WA KIMATAIFA WA ZAMBIA, RODGERS KOLA KWA MKATABA WA MIAKA MIWILI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEAZAM FC YASAJILI MSHAMBULIAJI MZOEFU WA KIMATAIFA WA ZAMBIA, RODGERS KOLA KWA MKATABA WA MIAKA MIWILI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
AZAM FC YASAJILI MSHAMBULIAJI MZOEFU WA KIMATAIFA WA ZAMBIA, RODGERS KOLA KWA MKATABA WA MIAKA MIWILI
KLABU ya Azam FC imemsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Zambia, Rodgers Kola, kwa mkataba wa miaka miwili kutoka Zanaco ya kwao. Mshambuliaji huyo mzoefu, mrefu na mwenye umbo kubwa, amesaini mkataba mbele ya Afisa Mtendaji Mkuu, Abdulkarim Amin 'Popat', utakaomfanya kudumu ndani ya viunga vya Azam Complex hadi mwaka 2023. Kola aliyefunga jumla ya mabao 14 katika mashindano mbalimbali nchini Zambia, anakuja Azam kuongeza nguvu kwenye safu yetu ya ushambuliaji, kuanzia msimu ujao 2021/2022.
Item Reviewed: AZAM FC YASAJILI MSHAMBULIAJI MZOEFU WA KIMATAIFA WA ZAMBIA, RODGERS KOLA KWA MKATABA WA MIAKA MIWILI
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment