// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
AZAM FC YASAJILI MCHEZAJI MPYA WA TATU KUELEKEA MSIMU UJAO, SAFARI HII NI NYOTA MZAWA EDWARD CHARLES MANYAMA KUTOKA RUVU SHOOTING - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEAZAM FC YASAJILI MCHEZAJI MPYA WA TATU KUELEKEA MSIMU UJAO, SAFARI HII NI NYOTA MZAWA EDWARD CHARLES MANYAMA KUTOKA RUVU SHOOTING - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
AZAM FC YASAJILI MCHEZAJI MPYA WA TATU KUELEKEA MSIMU UJAO, SAFARI HII NI NYOTA MZAWA EDWARD CHARLES MANYAMA KUTOKA RUVU SHOOTING
KLABU ya Azam FC imemsajili beki wa kushoto wa kimataifa wa Tanzania, Edward Charles Manyama kutoka Ruvu Shooting ya Pwani kwa mkataba wa miaka mitatu utakaomfanya adumu ndani ya viunga vya Azam Complex hadi mwaka 2024. Manyama ni mmoja wa mabeki wa kushoto wanaoendelea kufanya vizuri kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara, hivyo anatarajiwa kwenda kuendeleza makali yake ndani ya kikosi cha Azam FC. Huyo anakuwa mchezaji mpya wa tatu kusajiliwa Azam FC kuelekea msimu ujao, baada ya nyota wa kimataifa wa Zambia, kiungo mshambuliaji, Charles Zulu na mshambuliaji, Rodgers Kola.
Item Reviewed: AZAM FC YASAJILI MCHEZAJI MPYA WA TATU KUELEKEA MSIMU UJAO, SAFARI HII NI NYOTA MZAWA EDWARD CHARLES MANYAMA KUTOKA RUVU SHOOTING
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment