// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
AZAM FC YAENDELEA KUIMARISHA KIKOSI CHAKE KUELEKEA MSIMU UJAO, YAMSAJILI NA KIUNGO WA KIMATAIFA WA KENYA, KENNETH MUGUNA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEAZAM FC YAENDELEA KUIMARISHA KIKOSI CHAKE KUELEKEA MSIMU UJAO, YAMSAJILI NA KIUNGO WA KIMATAIFA WA KENYA, KENNETH MUGUNA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
AZAM FC YAENDELEA KUIMARISHA KIKOSI CHAKE KUELEKEA MSIMU UJAO, YAMSAJILI NA KIUNGO WA KIMATAIFA WA KENYA, KENNETH MUGUNA
KLABU ya Azam FC imeendelea kujiimarisha kuelekea msimu ujao baada ya kumsajili kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Kenya, Kenneth Muguna, kwa mkataba wa miaka miwili kutoka Gor Mahia ya kwao. Muguna ambaye mkataba huo utamfanya aitumikie Azam FC hadi mwaka 2023 ni miongoni mwa nyota wanaotamba kwenye soka la Kenya, msimu huu akifanikiwa kuchaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Kombe la FA la nchini huko, iliyomalizika kwa timu yake ya Gor Mahia kuibuka mabingwa wa michuano hiyo. Huyo anakuwa mchezaji wa nne kusajiliwa Azam FC kuelekea msimu ujao, baada ya nyota wawili kutoka Zambia, Charles Zulu, Rodgers Kola na beki mzawa wa kushoto, Edward Manyama.
Item Reviewed: AZAM FC YAENDELEA KUIMARISHA KIKOSI CHAKE KUELEKEA MSIMU UJAO, YAMSAJILI NA KIUNGO WA KIMATAIFA WA KENYA, KENNETH MUGUNA
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
Ugandan referees for 2025 FIFA badges confirmed
-
FUFA has confirmed a list of Ugandan referees approved to receive FIFA
badges for the calendar year 2024 The list submitted by FUFA after a
resolution by...
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment