
Saturday, July 31, 2021

KLABU ya Azam FC imemsainisha mkataba wa miaka miwili na mshambuliaji wa kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Idris Mbombo, ...
KIKOSI CHA TANZANIA KILICHOTWAA KOMBE LA CECAFA CHALLENGE U23 KUREJEA NCHINI KESHO MCHANA
Saturday, July 31, 2021
KIKOSI cha Tanzania kilichotwaa ubingwa wa Kombe la Mafaifa ya Afrika Mashariki na Kati kwa vijana chini ya umri wa miaka 23, CECAFA Challen...
KAMATI YA RUFANI YA UCHAGUZI YA TFF YAAGIZA UCHAGUZI WA CHAMA CHA SOKA PWANI URUDIWE
Saturday, July 31, 2021
KAMATI ya Rufani ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imeagiza uchaguzi wa Chama cha Soka Pwani (COREFA) urudiwe.
TANZANIA PRISONS YAENDELEA KUIMARISHA KIKOSI KWA KUMSAJILI NYOTA ALIYEKUWA ANACHEZA KARIOBANGI SHARKS YA KENYA
Saturday, July 31, 2021
KLABU ya Tanzania Prisons imeendelea kuimarisha kikosi chake kwa kumsajili kiungo mshambuliaji Athanas Mdam aliyekuwa anachezea Kariobangi S...
AZAM FC YAMPONGEZA MTENDAJI WAKE MKUU WA ZAMANI KUTEULIWA MKURUGENZI WA MAWASILIANO YA RAIS IKULU YA ZANZIBAR
Saturday, July 31, 2021
KLABU ya Azam FC imempongeza aliyekuwa Mtendaji wake Mkuu, Abdul Mohamed kwa kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Zanzibar...
NYOTA WA R&B NCHINI, BEN POL ATOA NYIMBO NNE MPYA KALI TUPU AZIITA KIFURUSHI CHA B, ZAWADI KWA MASHABIKI WAKE
Saturday, July 31, 2021
NYOTA wa Muziki wa R&B nchini, Behnam Paul maarufu kama Ben Pol amewazawadia mashabiki zake kifurushi chenye nyimbo Nne mpya (4) alich...
Friday, July 30, 2021
ARSENAL YAMSAJILI BEN WHITE KWA ADA YA PAUNI MILIONI 50
Friday, July 30, 2021
KLABU ya Arsenal imemtambulisha beki wa kati Ben White kutoka Brighton aliyesaini mkataba wa miaka mitano kwa ada ya Pauni Milioni 50. Bek...
MORRISON AFUNGIWA MECHI TATU NA FAINI YA SH MILIONI 3 KWA KOSA LA KUVUA BUKTA NA KUBAKI NA KICHUPI KIGOMA, MUKOKO NA SHIKALO NAO WAADHIBIWA NA TFF KWA MAKOSA TOFAUTI
Friday, July 30, 2021
WINGA Mghana wa Simba SC, Bernad Morrison amefungiwa mechi tatu na kutozwa faini ya Sh. Milioni 3 kwa kosa la kuvua bukta na kubaki na kichu...
TANZANIA YATWAA UBINGWA WA CECAFA CHALLENGE U23 BAADA YA KUIPIGA BURUNDI KWA PENALTI 6-5 KUFUATIA SARE YA 0-0 LEO ETHIOPIA
Friday, July 30, 2021
TANZANIA imetwaa Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kwa vijana chini ya umri wa miaka 23 baada ya ushindi wa penalti 6-5 kufuati...
CECACA YABADILI MPANGILIO KOMBE LA KAGAME, SASA NI MAKUNDI MAWILI YANGA WAPO A, AZAM FC B
Friday, July 30, 2021
BARAZA la Soka Afrika Mashariki na Kati limefanya marekebisho michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kombe la Kamga...
HATIMAYE MO DEWJI AKABIDHI HUNDI YA SH BILIONI 20 KUNUNUA ASILIMIA 49 YA HISA NDANI YA KLABU YA SIMBA
Friday, July 30, 2021
HATIMAYE mfanyabiashara, Mohamed Gulam Dewji amekabidhi hundi ya Sh. Bilioni 20 kununua hisa asilimia 49 za klabu ya Simba ya Dar es Salaam....
BODI YAAHIDI KUFANYIA MAREKEBISHO DOSARI ZILIZOJITOKEZA KATIKA MSIMU WA LIGI KUU YA TANZANIA BARA ULIOMALIZIKA ILI MSIMU UJAO MAMBO YAWE TOFAUTI
Friday, July 30, 2021
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeahidi kuzifanyia kazi changamoto zote zilizojitokeza katika msimu uliomalizika wa ligi hiyo ili msimu uj...
JKT TANZANIA YATWAA UBINGWA WA LIGI YA VIJANA CHINI YA UMRI WA MIAKA 17 IKIZIACHA MBALI KABISA SIMBA NA YANGA
Friday, July 30, 2021
TIMU ya JKT Tanzania imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Shirikisho la Soka nchini (TFF), ikizipu Azam...
Thursday, July 29, 2021
YANGA SC YAACHANA RASMI NA BEKI WAKE MGHANA, LAMINE MORO KWA MAKUBALIANO YA PANDE ZOTE MBILI
Thursday, July 29, 2021
KLABU ya Yanga SC imeachana na beki wake Mghana, Lamine Oumar Moro (pichani kulia)baada ya misimu miwili kwa makubaliano ya pande zote mbili...
Wednesday, July 28, 2021
YANGA SC YAPANGWA KUNDI MOJA NA BIG BULLET YA MALAWI NA EXPRESS FC YA UGANDA MICHUANO YA KOMBE LA KAGAME
Wednesday, July 28, 2021
KLABU ya Yanga imepangwa kundi C pamoja na Nyasa Big Bullet ya Malawi na Express ya Uganda katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki ...
EZEKIEL KAMWAGA AREJESHWA SIMBA SC KUKAIMU NAFASI YA UKUU WA IDARA YA HABARI, MANARA AAGWA RASMI MSIMBAZI
Wednesday, July 28, 2021
KLABU ya Simba imemteua Ezekiel Kamwaga kukaimu nafasi ya Ukuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano kwa miezi miwili kabla ya kutangazwa rasmi ...
Tuesday, July 27, 2021
SPORTPESA YAWAZAWADIA SIMBA SC KITITA CHA SH MILIONI KWA KUTWAA KWA MARA NYINGINE TENA UBINGWA WA BARA
Tuesday, July 27, 2021
MDHAMINI Mkuu wa klabu ya Simba, kampuni ya SportPesa leo imeikabidhi timu hiyo kiasi Sh. Milioni 100 kama zawadi ya kutwaa ubingwa wa Ligi ...
WINGA MGHANA, BERNARD MORRISON ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MASHABIKI WA SIMBA SC MWEZI JUNI
Tuesday, July 27, 2021
WINGA Mghana, Bernard Morrison amekabidhiwa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki wa mwezi Juni (Emirate Aluminium Simba Fans Player of the Mon...
TANZANIA YATINGA FAINALI MICHUANO YA CECAFA CHALLENGE U23 BAADA YA KUICHAPA U23 SUDAN KUSINI 1-0 ETHIOPIA
Tuesday, July 27, 2021
TANZANIA imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kwa vijana chini ya umri wamiaka 23 (CECAFA Challenge U2...
NAOMI OSAKA ATUPWA NJE RAUNDI YA TATU TU TENISI OLMPIKI
Tuesday, July 27, 2021
MJAPAN Naomi Osaka ametolewa katika Raundi ya Tatu tu kwenye Tenisi baada ya kuchapwa seti 2-0 (6-1, 6-4) na Marketa Vondrousova Jijini Tok...
NASREDDINE NABI AWABWAGA GOMES WA SIMBA NA LULLE WA MBEYA CITY KUTWAA TUZO KOCHA BORA WA LIGI KUU JULAI
Tuesday, July 27, 2021
MTUNISIA Nasreddine Nabi ameshinda tuzo ya Kocha Bora wa Ligi Kuu kwa mwezi wa mwisho wa msimu, Julai baada ya kuwashinda Mfaransa Didier Go...
KOPE MUTSHIMBA MUGALU AWA MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU MWEZI JULAI BAADA YA KUWABWAGA ILAMFYA WA KMC NA LUIZIO WA MBEYA CITY
Tuesday, July 27, 2021
MSHAMBULIAJI wa Simba SC, Mkongo Chris Kope Mugalu amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu kwa mwezi wa mwisho wa msimu, Julai baada ya ...
SPURS YAMSAJILI KIUNGO BRYAN GIL KUTOKA SEVILLA
Tuesday, July 27, 2021
KLABU ya Tottenham Hotspur imekamilisha usajili wake wa kwanaa kwa kumnyakua Bryan Gil kutoka Sevilla kwa ada ya Pauni Milioni 22. Pamoja na...
Monday, July 26, 2021
MUKOKO TONOMBE AWAOMBA RADHI YANGA BAADA YA KUSABABISHA MAJANGA JANA KIGOMA TIMU IKICHAPWA 1-0 FAINALI ASFC
Monday, July 26, 2021
KIUNGO wa Yanga SC, Mukoko Tonombe, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) amewaomba radhi mashabiki wa timu yake pamoja na makocha...
MABINGWA WA MATAJI YOTE NCHINI, SIMBA SC WAREJEA DAR NA MWALI WAO WA ASFC BAADA YA KUIPIGA YANGA JANA LAKE TANGANYIKA
Monday, July 26, 2021
KIKOSI cha Simba SC kimerejea Dar es Salaam leo kutoka Kigoma, ambako jana walitwaa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu ka...
KIKOSI CHA YANGA SC CHAREJEA DAR KINYONGE BAADA YA KUPIGWA NA MTANI, SIMBA SC JANA FAINALI KOMBE LA TFF
Monday, July 26, 2021
KIKOSI cha Yanga SC kimerejea mapema leo kutoka Kigoma, ambako jana walifungwa 1-0 na Simba SC katika fainali ya Kombe la Shirikisho la Sok...
WASHINDI WA MATAJI YOTE YA TANZANIA BARA MSIMU WA 2020-2021 WEKUNDU WA MSIMBAZI, SIMBA SC KWA RAHA ZAO
Monday, July 26, 2021
WACHEZAJI wa Simba SC wakifurahia na Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ush...
Sunday, July 25, 2021
SIMBA SC 1-0 YANGA SC (FAINALI KOMBE LA TFF)
Sunday, July 25, 2021
SIMBA SC WAKISHEREHEKEA USHINDI WA TAJI LA ASFC
Sunday, July 25, 2021
THADEO LWANGA AWAZIMA YANGA SC KIGOMA, SIMBA SC YATWAA TENA TAJI LA AZAM SPORTS FEDERATION CUP
Sunday, July 25, 2021
SIMBA SC wamefanikiwa kutetea Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa...
NABI AWAANZISHA PAMOJA KISINDA, YACOUBA SOGNE NA FEISAL SALUM DHIDI YA SIMBA SC FAINALI AZAM SPORTS FEDERATION CUP LEO LAKE TANGANYIKA
Sunday, July 25, 2021
KOCHA Mtunisia wa Yanga SC, Nasreddine Nabi amewaanzisha pamoja viungo washambuliaji, Mkongo Tuisila Kisinda, Mburkinabe Yacouba Sogne na mz...
GOMES AWAANZISHA PAMOJA MIQUISSONE NA WASHAMBULIAJI KOPE MUGALU NA JOHN BOCCO DHIDI YA YANGA SC FAINALI KOMBE LA TFF KIGOMA LEO
Sunday, July 25, 2021
KOCHA Mfaransa wa Simba SC, Didier Gomes amewaanzisha pamoja kiungo Luis Miquissone raia wa Msumbiji na washambuliaji, Mkongo Chris Kope Mu...
TANZANIA PRISONS YAMREJESHA KIPA WAKE AARON KALAMBO BAADA YA MISIMU MIWILI YA KUZICHEZEA MBEYA CITY NA DODOMA JIJI FC LIGI KUU
Sunday, July 25, 2021
KLABU ya Tanzania Prisons FC imefanikiwa kumrejesha kipa wake, Aaron Ally Kalambo aliyeichezea Dodoma Jiji FC msimu uliopita. Kalambo mwenye...
MWENYEKITI WA ZAMANI WA TFF, ALHAJ SAID HAMAD EL MAAMRY AFARIKI DUNIA AKIWA ANA UMRI WA MIAKA 86.
Sunday, July 25, 2021
MWENYEKITI wa zamani wa Chama cha Soka Tanzania (FAT), sasa Shirikisho (TFF) na aliyekuwa Kamishna wa Jeshi la Polisi nchini, Wakili Said Ha...
Saturday, July 24, 2021
TFF KUGAWA BARAKOA KWA KILA SHABIKI ATAKAYEINGOA UWANJANI LAKE TANGANYIKA KESHO KUSHUHUDIA PAMBANO LA WATANI WA JADI
Saturday, July 24, 2021
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema litagawa barakoa kwa kila shabiki atakayeingia Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma kesho kus...
MTIBWA SUGAR NA COASTAL UNION ZAEPUKA JARIBIO LA KUSHUKA DARAJA BAADA YA KUZITUPA NJE PAMBA NA TRANSIT CAMP
Saturday, July 24, 2021
TIMU za Coastal Union na Mtibwa Sugar zimefanikiwa kusalia katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuzitoa Pamba na Transit Camp za Daraja...
AZAM FC YAWAACHA NYOTA WAKE WANNE WA KIGENI, CHIRWA, MPIANA MONZINZI, YAKUBU NA ALLY NIYONZIMA
Saturday, July 24, 2021
KLABU ya Azam FC imewaacha wachezaji wake wanne wa kigeni baada ya makubaliano ya pande zote mbili. Hao ni beki wa kati, Mghana Yakubu Moham...
Subscribe to:
Posts (Atom)