Messi mwenye umri wa miaka 34 sasa, amefikisha mabao 31 katika mechi 148, wakati marehemu Maradona alifunga 32 katika mechi 87, zikiwemo za ushindi wa Kombe la Dunia 1986, wakati Messi bado hajashinda taji na timu yake hiyo ya taifa.
Messi pia ameweka rekodi ya mchezaji aliyeichezea mechi nyingi zaidi timu ya taifa ya Argentina, akimpiku beki mstaafu, Javier Mascherano.
0 comments:
Post a Comment