• HABARI MPYA

        Saturday, June 26, 2021

        DENMARK YAISHINDILIA WALES 4-0 NA KUTINGA ROBO FAINALI EURO 2020

        DENMARK wamefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Euro 2020 baada ya ushindi mnono wa 4-0 dhidi ya Wales leo Uwanja wa Johan Cruijff Arena Jijini Amsterdam nchini Uholanzi.
        Mabao ya Denmark yamefungwa na Kasper Dolberg dakika ya 27 na 48, Joakim Mæhle dakika ya 88 na  
        Martin Braithwaite dakika ya 90 na ushei na sasa itakutana na mshindi  kati ya Uholanzi na Jamhuri ya Czech.

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: DENMARK YAISHINDILIA WALES 4-0 NA KUTINGA ROBO FAINALI EURO 2020 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry