JIJI la Dar es Salaam limetwaa ubingwa wa soka Mashindano ya Umoja wa Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) 2021 iiyomalizika leo mkoani Mtwara.
Akifunga mashindano hayo, Mgeni Rasmi Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Pauline Gekul, amewaomba wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kama huo kwenye michezo ya UMISSETA inayotarajia kuanza Jumatatu Juni 21, 2021.
Akifunga mashindano hayo, Mgeni Rasmi Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Pauline Gekul, amewaomba wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kama huo kwenye michezo ya UMISSETA inayotarajia kuanza Jumatatu Juni 21, 2021.
*MATOKEO YA MASHINDANO YA UMITASHUMTA MWAKA 2021 MKOANI MTWARA.*
_SOKA MAALUM_
1. Njombe ✅ (Bingwa)
2. Dsm
3. Shinyanga
SOKA WASICHANA
1. Mwanza ✅ (Bingwa)
2. Dsm
3. Mara
_SOKA KAWAIDA_
1. Dar es salaam ✅ (Bingwa)
2. Mara
3. Geita
VOLLEYBALL WAVULANA
1. Mwanza ✅ (Bingwa)
2. Pwai
3. Mara
VOLLEYBALL WASICHANA
1. Mtwara ✅(Bingwa)
2. Mbeya
3. Katavi
HANDBALL WAVULANA
1. Tanga ✅ (Bingwa)
2. Mwanza
3. Rukwa
HANDBALL WASICHANA
1. Mara ✅ (Bingwa)
2. Morogoro
3. Katavi
NETBALL
1. Mwanza
2. Mara
3. Kigoma
MPIRA WA GOLI (GOAL BALL) KWA WENYE UONI HAFIFU.
WAVULANA:-
1. Morogoro ✅ (Bingwa)
2. Rukwa
WASICHANA
1. Tanga ✅ (Bingwa)
2. Morogoro
RIADHA WAVULANA
1. Simiyu ✅ (Bingwa)
2. Mara
3. Manyara
RIADHA WASICHANA
1. Manyara ✅(Bingwa)
2. Mwanza
3. Mara
FANI ZA NDANI
A. KWAYA
1. Kagera ✅ (Bingwa)
2.Kigoma
3. Dsm
B. NGOMA
1. Tanga ✅ (Bingwa)
2. Dsm
3. Pwani
USAFI NA NIDHAMU
WAVULANA
1. Morogoro
2. Mara
3. Tanga
WASICHANA
1. Mtwara
2. Dodoma
3. Manyara
SANAA ZA MAONESHO
Mshindi wa Jumla Ni Mkoa wa Dar es salaam
*BINGWA WA JUMLA UMITASHUMTA MWAKA 2021 NI Mkoa wa MARA .*
*Wamekusanya Vikombe 9 wakiwaacha wenzao kwa mbali sana .......*
0 comments:
Post a Comment