
Wednesday, June 30, 2021

NYOTA wa Barcelona, Lionel Messia juzi amefunga mabao mawili kuiwezesha Argentina kuichapa Bolivia 4-1 katika mchezo wa mwisho wa Kundi A Co...
KARIA KUGOMBEA URAIS WA TFF BILA MPINZANI BAADA YA WAGOMBEA WENGINE WOTE WAWILI KUENGULIWA KWENYE USAILI
Wednesday, June 30, 2021
RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace John Karia atatetea nafasi yake bila upinzani katika uchaguzi uliopangwa kufanyika Agos...
Tuesday, June 29, 2021
ENGLAND YATINGA ROBO FAINALI EURO, YAICHAPA UJERUMANI 2-0
Tuesday, June 29, 2021
ENGLAND imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Euro 2020 baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Ujerumani leo Uwanja wa Wembley Jijini London. Pongezi...
MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA SABRI RAMADHANI 'CHINA'
Tuesday, June 29, 2021
MBAPPE AKOSA PENALTI YA MWISHO UFARANSA YATUPWA NJE EURO 2020
Tuesday, June 29, 2021
USWISI imetinga Robo Fainali ya Euro 2020 baada ya ushindi wa penalti 5-4 kufuatia sare ya kufungana mabao 3-3 ndani ya dakika 120 usiku huu...
Monday, June 28, 2021
TFF YASEMA MASHABIKI WAPYA 13782 NDIO WATAKAOUZIWA TIKETI KWA AJILI YA PAMBANO LA SIMBA NA YANGA JUMAMOSI
Monday, June 28, 2021
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema tiketi 13782 mpya ndizo zitauzwa kwa ajili ya mchezo wa watani wa jadi Jumamosi Uwanja wa Benjam...
HISPANIA YAICHAPA CROATIA 5-1 NA KUTINGA ROBO FAINALI EURO 2020
Monday, June 28, 2021
HISPANIA imekata tiketi ya Robo Fainali Euro 2020 baada ya ushindi wa 5-3 dhidi ya Croatia leo Uwanja wa Parken Jijini Copenhagen katika mch...
BRAZIL YAKAMILISHA MECHI ZAKE ZA MAKUNDI KWA SARE COPA AMERICA
Monday, June 28, 2021
WENYEJI, Brazil wamekamilisha mechi zao za Kundi B Copa America kwa sare ya 1-1 na Ecuador usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Olímpico Pedro Lud...
UBELGIJI YAITUPA NJE URENO NA RONALDO WAO EURO 2020
Monday, June 28, 2021
UBELGIJI wamefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Euro 2020 baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya mabingwa watetezi, Ureno usiku huu Uwanja wa Olímpic...
Sunday, June 27, 2021
CZECH YAITUPA NJE UHOLANZI EURO 2020, KUKUTANA NA DENMARK
Sunday, June 27, 2021
JAMHURI ya Czech imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Euro 2020 baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Uholanzi leo Uwanja wa Puskás Aréna Jijini Bu...
SIMBA SC 1-0 AZAM FC (KOMBE LA TFF)
Sunday, June 27, 2021
WANACHAMA WA YANGA WAPITISHA MABADILIKO YA KATIBA KUELEKEA MFUMO MPYA WA UENDESHAJI KLABU YAO
Sunday, June 27, 2021
WANACHAMA wa klabu ya Yanga kwa kauli moja leo wamepitisha Mabadiliko ya Katiba yatakayowawezesha kufanya marekebisho ya mfumo wa uendeshaji...
ITALIA NAYO YATINGA ROBO FAINALI EURO 2020 BAADA YA DAKIKA 120
Sunday, June 27, 2021
ITALIA imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Euro 2020 baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Austria katika mchezo uliodumu kwa dakika 120 usiku huu...
Saturday, June 26, 2021
SIMON MSUVA ACHEZA KIPINDI KIMOJA WYDAD YALAZIMISHWA SARE NA KAIZER CHIEFS JOHANNESBURG NA KUTOLEWA LIGI YA MABINGWA AFRIKA
Saturday, June 26, 2021
KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva amecheza kipindi kimoja leo timu yake, Wydad Athletic ya Morocco ikilaz...
DENMARK YAISHINDILIA WALES 4-0 NA KUTINGA ROBO FAINALI EURO 2020
Saturday, June 26, 2021
DENMARK wamefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Euro 2020 baada ya ushindi mnono wa 4-0 dhidi ya Wales leo Uwanja wa Johan Cruijff Arena Jijini ...
SIMBA SC YAICHAPA AZAM FC 1-0 NA KUITUPA NJE ASFC, KUKUTANA NA YANGA SC KATIKA FAINALI JULAI 25 KIGOMA
Saturday, June 26, 2021
MABINGWA watetezi, Simba SC wamefanikiwa kutinga Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Azam...
YANGA SC 1-0 BIASHARA UNITED (KOMBE LA TFF TABORA)
Saturday, June 26, 2021
Friday, June 25, 2021
CHIPUKIZI MWENYE KIPAJI MTANZANIA, KELVIN JOHN AJIUNGA NA TIMU YA ZAMANI YA SAMATTA, GENK HADI MWAKA 2024
Friday, June 25, 2021
MSHAMBULIAJI chipukizi wa kimataifa wa Tanzania, Kelvin John Pius mwenye umri wa miaka 18 amejiunga klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji baada ya...
YANGA SC YATINGA FAINALI ASFC BAADA YA KUICHAPA BIASHARA UNITED 1-0 BAO PEKEE LA YACOUBA SOGNE TABORA
Friday, June 25, 2021
VIGOGO, Yanga SC wamefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) b...
Thursday, June 24, 2021
RUVU SHOOTING YALAZIMISHWA SARE YA KUFUNGANA BAO 1-1 NA POLISI TANZANIA LEO UWANJA WA MABATINI MECHI YA LIGI KUU
Thursday, June 24, 2021
RUVU Shooting imelazimishwa sare ya 1-1 na Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara leo Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani P...
KAMATI YA MAADILI YA TFF YAMFUTIA ADHABU YA KUMFUNGIA MWAKALEBELA MIAKA MITANO KWA TUHUMA ZA UCHOCHEZI
Thursday, June 24, 2021
KAMATI ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemfutia adhabu ya kufungiwa miaka mitano kutojisjighulisha na soka pamoja na faini...
BRAZIL YATINGA ROBO FAINALI BAADA YA KUICHAPA COLOMBIA 2-1
Thursday, June 24, 2021
WENYEJI, Brazil wamefuzu Robo Fainali ya Copa America baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Colombia katika mchezo wa Kundi B usiku wa kuamkia le...
URENO YAFUZU KWA MLANGO WA ‘UANI’ 16 BORA YA EURO 2020,
Thursday, June 24, 2021
TIMU za Ufaransa, Ujerumani na Ureno zimefuzu Hatua ya 16 Bora baada ya mechi zao za mwisho za Kundi F leo. Ureno imamaliza kwa sare ya 2-2 ...
Wednesday, June 23, 2021
HISPANIA NA SWEDEN ZATINGA 16 BORA EURO 2020, LEWANDOWSKI NJE
Wednesday, June 23, 2021
HISPANIA imefuzu Hatua ya 16 Bora baada ya ushindi wa 5-0 dhidi ya Slovakia katika mchezo wa Kundi E wa Euro 2020 leo Uwanja wa Olímpico Jij...
SIMBA SC 4-1 MBEYA CITY (LIGI KUU TANZANIA BARA)
Wednesday, June 23, 2021
GWAMBINA FC YAPAMBANIA UHAI WAKE LIGI KUU TANZANIA BARA, YAJITUTUMIA KUCHAPA DODOMA JIJI 2-0 MISUNGWI
Wednesday, June 23, 2021
TIMU ya Gwambina FC imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Gwa...
RAHEEM STERLING AIPELEKA ENGLAND 16 BORA EURO 2020
Wednesday, June 23, 2021
ENGLAND imefanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Jamhuri ya Czech usiku wa jana Uwanja wa Wembley Jijini London....
Tuesday, June 22, 2021
SIMBA SC YAENDELEZA UBABE LIGI KUU, YAICHAPA MBEYA CITY 4-1 UWANJA WA MKAPA
Tuesday, June 22, 2021
MABINGWA watetezi, Simba SC wameendeleza ubabe katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 4-1 dhidi ya Mbeya City usiku huu Uwanj...
TANZANIA PRISONS YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA COASTAL UNION LEO SUMBAWANGA
Tuesday, June 22, 2021
TANZANIA Prisons imelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja w...
MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA SEMMY KESSY MFUNGAJI BORA WA ZAMANI LIGI KUU
Tuesday, June 22, 2021
AERGENTINA YANG'ARA COPA AMERICA, YAICHAPA PARAGUAY 1-0
Tuesday, June 22, 2021
BAO pekee la kiungo wa Sevilla, Alejandro Darío Gómez dakika ya 10 jana limeipa Argentina ushindi wa 1-0 dhidi ya Paraguay katika mchezo wa ...
YANGA SC 3-2 MWADUI FC (LIGI KUU YA TANZANIA BARA)
Tuesday, June 22, 2021
YUSSUF POULSEN AIPELEKA DENMARK 16 BORA EURO 2020
Tuesday, June 22, 2021
MSHAMBULIAJI mwenye asili ya Tanzania, Yussuf Poulsen jana amefunga bao Denmark ikiibuka na ushindi wa 4-1 dhidi ya Urusi katika mchezo wa K...
Monday, June 21, 2021
UHOLANZI YATINGA 16 BORA EURO 2020 BAADA YA KUIPIGA MACEDONIA 3-0
Monday, June 21, 2021
UHOLANZI wamefanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora Euro 2020 baa ya ushindi wa 3-0 Macedonia Kaskazini kwenye mchezo wa Kundi C leo Uwanja wa Joh...
AZAM FC YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA NAMUNGO RUANGWA, KMC NA MTIBWA SUGAR WATOKA 1-1 UWANJA WA UHURU
Monday, June 21, 2021
TIMU ya Azam FC imelazimishwa sare ya bila kufungana na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Majali...
RASMI TFF YATHIBITISHA TIMU NNE ZITASHIRIKI MICHUANO YA AFRIKA MSIMU UJAO, MBILI LIGI YA MABINGWA NA MBILI KOMBE LA SHIRIKISHO
Monday, June 21, 2021
RASMI, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema timu nchini zitashiriki michuano ya Afrika mwakani, mbili Ligi ya Mabingwa na mbili Kombe...
UONGOZI WA YANGA SC WATAJA AJENDA 12 ZA MKUTANO WAKE WA JUNI 27 KUBWA KUPITIA MAPENDEKEZO YA MAREKEBISHO YA KATIBA
Monday, June 21, 2021
UONGOZI wa Yanga SC umetaja ajenda 12 za Mkutano wake wa Juni 27 utakaofanyika ukumbi wa DYCCC, Chang’ombe, mkabala na Chuo cha DUCE Jijini ...
Sunday, June 20, 2021
WALES YATINGA 16 BORA EURO 2020 LICHA YA KUCHAPWA 1-0 NA ITALIA
Sunday, June 20, 2021
ITALIA imekamilisha mechi zake za Kundi A Euro 2020 kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya Wales usiku huu, bao pekee la kiungo wa Atalanta,Matteo Pess...
YANGA SC YATUMIA DAKIKA MOJA YA MWISHO KUPATA MABAO MAWILI NA KUTOKA NYUMA KWA 2-1 NA KUSHINDA 3-2 DHIDI YA MWADUI FC DAR
Sunday, June 20, 2021
WENYEJI, Yanga SC wametoka nyuma na kushinda 3-2 dhidi ya Mwadui FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Benjamin ...
BIASHARA UNITED YAICHAPA JKT TANZANIA 1-0 MUSOMA, KAGERA SUGAR YALAZIMISHWA SARE 0-0 NA IHEFU KAITABA
Sunday, June 20, 2021
BAO pekee la Abdulmajid Mangalo dakika ya 45 na ushei limewapa wenyeji, Biashara United ushindi wa 1-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo w...
MSUVA ATOKEA BENCHI NA KUSHINDWA KUINUSURU WYDAD NA KIPIGO CHA NYUMBANI KUTOKA KWA KAIZER CHIEFS CASABLANCA
Sunday, June 20, 2021
KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva ametokea benchi na kushindwa kuiepusha timu yake, Wydad Athletic na kipi...
HISPANIA YALAZIMISHWA SARE NA POLAND 1-1 SEVILLA
Sunday, June 20, 2021
TIMU ya taifa ya Hispania imelazimishwa sare ya 1-1 na Poland katika mchezo wa Kundi E Euro 2020 usiku huu Uwanja wa Olímpico Jijini Sevill...
Saturday, June 19, 2021
UJERUMANI YAZINDUKA NA KUICHAPA URENO YA RONALDO 4-2
Saturday, June 19, 2021
UJERUMANI imezinduka na kuichapa Ureno 4-2 katika mchezo wa Kundi F Euro 2020 leo Uwanja wa Allianz Arena Jijini Munich. Mabao ya Ujerumani ...
POLISI TANZANIA 0-1 SIMBA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
Saturday, June 19, 2021
MTIBWA SUGAR WATWAA UBINGWA WA LIGI YA VIJANA U20 KWA MARA YA TATU MFULULIZO BAADA YA KUICHAPA YANGA 2-1
Saturday, June 19, 2021
TIMU ya Mtibwa Sugar ya Morogoro imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 baada ya ushindi wa 2-1 dhidi y...
YANGA SC YAACHANA NA KOCHA WA TIMU YAKE YA WANAWAKE, EDNA LEMA ALIYEOMBA MWENYEWE KUJIUZULU KAZI PRINCESS
Saturday, June 19, 2021
KOCHA wa timu ya wanawake ya Yanga, Yanga Princess, Edna Lema amejiuzulu nafasi hiyo baada ya misimu mawili ya kuiongoza timu hiyo. Kwa muji...
UFARANSA YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA HUNGARY JIJINI BUDAPEST
Saturday, June 19, 2021
UFARANSA wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na wenyeji, Hungary katika mchezo wa Kundi F Euro 2020 leo Uwanja wa Puskas Arena Jijini B...
SIMBA B YATWAA NAFASI YA TATU LIGI KUU YA VIJANA U20 BAADA YA KUIPIGA AZAM AKADEMI KWA MATUTA CHAMAZI
Saturday, June 19, 2021
TIMU ya Simba SC ilifanikiwa kumaliza nafasi ya tatu katika Ligi Kuu ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 baada ya ushindi wa penalti 4-1 kuf...
LUIS MIQUISSONE AFUNGA BAO PEKEE CCM KIRUMBA SIMBA SC YAICHAPA POLISI TANZANIA 1-0 JIJINI MWANZA
Saturday, June 19, 2021
MABINGWA watetezi, Simba SC wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwa...
ARGENTINA YAPATA USHINDI WA KWANZA COPA AMERICA
Saturday, June 19, 2021
ARGENTINA imepata ushindi wa kwanza katika Copa America baada ya kuichapa 1-0 Uruguay katika mchezo wa Kudi A usiku wa kuamkia leo Uwanja wa...
ENGLAND NA CROATIA ZOTE ZALAZIMISHWA SARE EURO 2020
Saturday, June 19, 2021
TIMU ya taifa ya England imelazimishwa sare ya bila kufungana na Scotland katika mchezo wa Kundi D usiku huu Uwanja wa Wembley Jijini London...
Friday, June 18, 2021
IDDI NADO NA MPIANA MONZINZI KILA MMOJA AFUNGA MABAO MAWILI AZAM FC YAICHAPA GWAMBINA FC 4-1 CHAMAZI
Friday, June 18, 2021
WENYEJI, Azam FC wameibuka na ushindi wa 4-1 dhidi ya Gwambina FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Azam Complex. Chamaz...
DAR ES SALAAM WATWAA UBINGWA WA UMITASHUMTA MICHUANO ILIYOFIKIA TAMATI LEO MJINI MTWARA
Friday, June 18, 2021
JIJI la Dar es Salaam limetwaa ubingwa wa soka Mashindano ya Umoja wa Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) 2021 iiyomalizika leo mkoani M...
MBEYA CITY YAICHAPA COASTAL UNION 2-0 LEO MECHI YA LIGI KUU BARA UWANJA WA SOKOINE
Friday, June 18, 2021
TIMU ya Mbeya City imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Sokoi...
Subscribe to:
Posts (Atom)