// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
CAS YATUPILIA MBALI PINGAMIZI LA MORRISON DHIDI YA KESI YA YANGA SC, ITAANZA KUSIKILIZWA JUNI 2 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINECAS YATUPILIA MBALI PINGAMIZI LA MORRISON DHIDI YA KESI YA YANGA SC, ITAANZA KUSIKILIZWA JUNI 2 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
CAS YATUPILIA MBALI PINGAMIZI LA MORRISON DHIDI YA KESI YA YANGA SC, ITAANZA KUSIKILIZWA JUNI 2
MAHAKAMA ya Usuluhishi wa Kimataifa ya Michezo (CAS) imetupilia mbali pingamizi la winga Mghana, Bernard Morrison kutaka kesi iliyofunguliwa na Yanga dhidi yake itupwe. Sasa CAS imeamua shauri hilo ambalo Yanga inadai Morrison amesaini kwa wapinzani, Simba akiwa na mkataba na wana Jangwani hao lililofunguliwa Septemba mwaka jana itaanza kusikilizwa Juni 2, mwaka huu.
Item Reviewed: CAS YATUPILIA MBALI PINGAMIZI LA MORRISON DHIDI YA KESI YA YANGA SC, ITAANZA KUSIKILIZWA JUNI 2
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment