AZAM FC, RUVU SHOOTING NA YANGA ZAKABANA KOO LIGI YA VIJANA U20, SIMBA YAIPUMULIA MTIBWA NYUMA
MCHUANO ni mkali katika ya Ligi Vijana Kundi A, Yanga SC wakiwa wamefungana kwa pointi na Ruvu Shooting na Azam FC wote 11 baada ya mechi saba. Kundi B Mtibwa Sugar wanangoza kwa pointi zao 16, wakifuatiwa na Simba SC pointi 13 na Tanzania Prisons 11, wakati Kundi C Kagera Sugar pointi 18, JKT Tanzania 9 sawa na Mwadui FC.
Kayla Rendell signs for United Women
-
The 23-year-old goalkeeper joins from Southampton, becoming our women's
team's first signing of the winter window.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment