// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); 05/01/2021 - 06/01/2021 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE 05/01/2021 - 06/01/2021 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, May 31, 2021
    CAS YATUPILIA MBALI PINGAMIZI LA MORRISON DHIDI YA KESI YA YANGA SC, ITAANZA KUSIKILIZWA JUNI 2

    CAS YATUPILIA MBALI PINGAMIZI LA MORRISON DHIDI YA KESI YA YANGA SC, ITAANZA KUSIKILIZWA JUNI 2

    MAHAKAMA ya Usuluhishi wa Kimataifa ya Michezo (CAS) imetupilia mbali pingamizi la winga Mghana, Bernard Morrison kutaka kesi iliyofunguliwa...
    SIMBA SC KUONDOKA KESHO KWA NDEGE KWENDA MWANZA KUMENYANA NA RUVU SHOOTING MECHI YA LIGI KUU ALHAMISI

    SIMBA SC KUONDOKA KESHO KWA NDEGE KWENDA MWANZA KUMENYANA NA RUVU SHOOTING MECHI YA LIGI KUU ALHAMISI

     MABINGWA watetezi, Simba SC wanatarajiwa kuondoka Dar es Salaam kesho asubuhi kwa ndege kwenda Mwanza Alhamisi watacheza mechi ya Ligi Kuu ...
    FREDDY FELIX MINZIRO ATEULIWA KOCHA BORA WA LIGI DARAJA LA KWANZA BAADA YA KUIPA GEITA GOLD UBINGWA

    FREDDY FELIX MINZIRO ATEULIWA KOCHA BORA WA LIGI DARAJA LA KWANZA BAADA YA KUIPA GEITA GOLD UBINGWA

      KOCHA mzoefu, Freddy Felix Kataraiya Minziro ameteuliwa Kocha Bora wa msimu wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara baada ya kuiwezesha tim...
    Sunday, May 30, 2021
    GEITA GOLD NDIYO MABINGWA WA LIGI DARAJA LA KWANZA BAADA YA KUICHAPA MBEYA KWANZA 1-0 LEO UWANJA WA UHURU

    GEITA GOLD NDIYO MABINGWA WA LIGI DARAJA LA KWANZA BAADA YA KUICHAPA MBEYA KWANZA 1-0 LEO UWANJA WA UHURU

     TIMU ya Geita Gold imetwaa ubingwa wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Mbeya Kwanza katika Fainali leo ...
    PAMBA SC NA TRANSIT CAMP ZAPANGIWA WAPINZANI VITA YA KUWANIA KUPANDA LIGI KUU MSIMU UJAO

    PAMBA SC NA TRANSIT CAMP ZAPANGIWA WAPINZANI VITA YA KUWANIA KUPANDA LIGI KUU MSIMU UJAO

    MABINGWA wa zamani wa Ligi Kuu ya Muungano, Pamba FC ya Mwanza itamenyana na timu itakayomaliza nafasi ya 13 kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bar...
    YANGA SC NA GSM KWA PAMOJA WAIPONGEZA AZAM MEDIA LIMITED KWA KUINGIA MKATABA WA BILIONI 225.6 KUONYESHA LIGI KUU

    YANGA SC NA GSM KWA PAMOJA WAIPONGEZA AZAM MEDIA LIMITED KWA KUINGIA MKATABA WA BILIONI 225.6 KUONYESHA LIGI KUU

      KLABU ya Yanga imeipongeza Azam Media Limited kwa kusaini mkataba mpya mnono na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wa Haki za Matangazo ya ...
    Saturday, May 29, 2021
    PAMBA YABISHA HODI LIGI KUU BAADA YA KUITANDIKA KEN GOLD 4-1 LEO UWANJA NYAMAGANA JIJINI MWANZA

    PAMBA YABISHA HODI LIGI KUU BAADA YA KUITANDIKA KEN GOLD 4-1 LEO UWANJA NYAMAGANA JIJINI MWANZA

     MABINGWA wa zamani wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Pamba SC wamefanikiwa kufuzu hatua ya kuwania kupanda Ligi Kuu msimu ujao baada ya u...
    BOCCO, MUGALU NA MORRISON WAFUNGA SIMBA SC YATOKA NYUMA NA KUITANDIKA NAMUNGO FC 3-1 RUANGWA

    BOCCO, MUGALU NA MORRISON WAFUNGA SIMBA SC YATOKA NYUMA NA KUITANDIKA NAMUNGO FC 3-1 RUANGWA

    MABINGWA watetezi, Simba SC wametoka nyuma na kushinda 3-1 dhidi ya wenyeji, Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa...
    TANZANIA YAKAMILISHA MECHI ZAKE KWA KUCHAPWA 4-2 NA MISRI FAINALI ZA SOKA LA UFUKWENI NCHINI SENEGAL

    TANZANIA YAKAMILISHA MECHI ZAKE KWA KUCHAPWA 4-2 NA MISRI FAINALI ZA SOKA LA UFUKWENI NCHINI SENEGAL

     TANZANIA imeambulia kipigo cha mabao 4-2 mbele ya Misri katika mchezo wa kuwania nafasi ya tano kwenye Fainali za Afrika za soka la Ufukwen...
    Friday, May 28, 2021
    DILUNGA WA SIMBA SC AENGULIWA KIKOSI CHA TAIFA STARS NAFASI YAKE APEWA MUDATHIR YAHYA WA AZAM FC

    DILUNGA WA SIMBA SC AENGULIWA KIKOSI CHA TAIFA STARS NAFASI YAKE APEWA MUDATHIR YAHYA WA AZAM FC

    KIUNGO wa Simba SC, Hassan Dilunga ameenguliwa kwenye kikosi kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kilichotajwa leo na kocha Mde...
    KIM POULSEN AITA 27 TAIFA STARS, WANANE WANATOKA SIMBA SC...AZAM NA YANGA ZATOA WANNE KILA TIMU

    KIM POULSEN AITA 27 TAIFA STARS, WANANE WANATOKA SIMBA SC...AZAM NA YANGA ZATOA WANNE KILA TIMU

     KOCHA Mdenmark, Kim Paulsen ametaja kikosi cha wachezaji 27 cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kitakachoingia kambini Juni 5, mwaka...
    Thursday, May 27, 2021
    TFF YASEMA KLABU ITAKAYOKUWA INADAIWA NA MCHEZAJI HAITASHIRIKI LIGI KUU MSIMU UJAO

    TFF YASEMA KLABU ITAKAYOKUWA INADAIWA NA MCHEZAJI HAITASHIRIKI LIGI KUU MSIMU UJAO

     SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema klabu ambayo itakuwa inadaiwa na mchezaji haitaruhusiwa kushiriki Ligi Kuu ya Tanzania Bara msim...
    MMOJA TU APITISHWA KUGOMBEA UENYEKITI WA CHAMA CHA WANASOKA TANZANIA UTAKAOFANYIKA MWEZI UJAO NCHINI

    MMOJA TU APITISHWA KUGOMBEA UENYEKITI WA CHAMA CHA WANASOKA TANZANIA UTAKAOFANYIKA MWEZI UJAO NCHINI

     MWENYEKITI wa Chama cha Wachezaji Tanzania (SPUTANZA) Mussa Mohamed Kisoki pekee amepitishwa kugombea tena nafasi hiyo katika uchaguzi utak...
    TANZANIA YATUPWA NJE FAINALI ZA SOKA LA UFUKWENI AFRIKA BAADA YA KUCHAPWA 3-1 NA SENEGAL JIJINI DAKAR

    TANZANIA YATUPWA NJE FAINALI ZA SOKA LA UFUKWENI AFRIKA BAADA YA KUCHAPWA 3-1 NA SENEGAL JIJINI DAKAR

     TANZANIA imetupwa nje ya Fainali za Soka la Ufukweni Afrika baada ya kuchapwa 3-1 na wenyeji, Senegal katika mchezo wa Kundi A jana fukwe z...
    Wednesday, May 26, 2021
    BOCCO APIGA MBILI SIMBA SC YAICHAPA DODOMA JIJI 3-0 NA KUTINGA NUSU FAINALI KOMBE LA TFF, ITAKUTANA NA AZAM SONGEA

    BOCCO APIGA MBILI SIMBA SC YAICHAPA DODOMA JIJI 3-0 NA KUTINGA NUSU FAINALI KOMBE LA TFF, ITAKUTANA NA AZAM SONGEA

     MABINGWA watetezi, Simba SC wamefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) maarufu kama Azam Sports Federat...
    NAMUNGO FC YAICHIMBIA KABURI GWAMBINA FC BAADA YA KUICHAPA 1-0 LEO RUANGWA BAO PEKEE LA LUSAJO

    NAMUNGO FC YAICHIMBIA KABURI GWAMBINA FC BAADA YA KUICHAPA 1-0 LEO RUANGWA BAO PEKEE LA LUSAJO

     BAO la dakika ya 90 na ushei la mshambuliaji Relliant Lusajo limetosha kuipa Namungo FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Gwambina FC katika mchezo w...
    AZAM FC YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA TFF BAADA YA KUITANDIKA RHINO RANGERS 3-1 LEO UWANJA WA KAMBARAGE MJINI SHINYANGA

    AZAM FC YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA TFF BAADA YA KUITANDIKA RHINO RANGERS 3-1 LEO UWANJA WA KAMBARAGE MJINI SHINYANGA

     TIMU ya Azam FC imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Rhino Ran...
    Tuesday, May 25, 2021
    KASEKE APIGA ZOTE MBILI YANGA SC YAICHAPA MWADUI FC 2-0 NA KUTINGA NUSU FAINALI AZAM SPORTS FEDERATION CUP

    KASEKE APIGA ZOTE MBILI YANGA SC YAICHAPA MWADUI FC 2-0 NA KUTINGA NUSU FAINALI AZAM SPORTS FEDERATION CUP

     VIGOGO, Yanga SC wamefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Mwadui FC ...
     AZAM TV WAINGIA MKATABA MPYA MNONO NA TFF SHILINGI BILIONI 225.6 KURUSHA MECHI ZA LIGI KUU YA TANZANIA BARA MIAKA 10

    AZAM TV WAINGIA MKATABA MPYA MNONO NA TFF SHILINGI BILIONI 225.6 KURUSHA MECHI ZA LIGI KUU YA TANZANIA BARA MIAKA 10

    KAMPUNI ya Azam Media Limited imeingia mkataba mpya wa haki za matangazo ya Televisheni katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara na Shirikisho la So...
    TANZANIA YAANZA VIBAYA FAINALI ZA SOKA LA UFUKWENI AFRIKA BAADA YA KUCHAPWA 4-3 NA UGANDA JIJI DAKAR

    TANZANIA YAANZA VIBAYA FAINALI ZA SOKA LA UFUKWENI AFRIKA BAADA YA KUCHAPWA 4-3 NA UGANDA JIJI DAKAR

    TANZANIA jana ilianza vibaya Fainali ya soka la Ufukweni baada ya kufungwa 4-3 na Uganda kwenye mchezo wa Kundi A fukwe za Bahari ya Atlanti...
    Sunday, May 23, 2021
    BIASHARA UNITED YAITWANGA NAMUNGO FC 2-0 MUSOMA NA KUTINGA NUSU FAINALI AZAM SPORTS FEDERATION CUP

    BIASHARA UNITED YAITWANGA NAMUNGO FC 2-0 MUSOMA NA KUTINGA NUSU FAINALI AZAM SPORTS FEDERATION CUP

     TIMU ya Biashara United imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation ...
    Saturday, May 22, 2021
     MSUVA ATOKEA BENCHI NA KUISAIDIA WYDAD CASABLANCA KUTINGA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA AFRIKA

    MSUVA ATOKEA BENCHI NA KUISAIDIA WYDAD CASABLANCA KUTINGA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA AFRIKA

    MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva ametokea benchi zikiwa zimesalia dakika tatu na kuiwezesha klabu yake, Wydad Ath...
    Friday, May 21, 2021
    PRINCE DUBE NA MUDATHIR YAHYA WAFUNGA AZAM FC YAIZIMA BIASHARA UNITED CHAMAZI, YAICHAPA 2-0

    PRINCE DUBE NA MUDATHIR YAHYA WAFUNGA AZAM FC YAIZIMA BIASHARA UNITED CHAMAZI, YAICHAPA 2-0

    AZAM FC imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Biashara United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Azam C...
    Thursday, May 20, 2021
    NYOTA WALIOTAMBA LIGI KUU WAKIWEMO KADO, MOURAD NA TUMBO WABEBWA TIMU YA TAIFA YA SOKA LA UFUKWENI FAINALI ZA AFRIKA SENEGAL

    NYOTA WALIOTAMBA LIGI KUU WAKIWEMO KADO, MOURAD NA TUMBO WABEBWA TIMU YA TAIFA YA SOKA LA UFUKWENI FAINALI ZA AFRIKA SENEGAL

     NYOTA waliotamba katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara, kipa Shaaban Hassan Kado, mabeki Ismail Adam Gambo na Said Hussein Mourad na mshambuliaj...
    IHEFU SC YAICHAPA DODOMA JIJI 1-0 UBARUKU NA KUJIONDOA KWENYE ENEO LA HATARI YA KUSHUKA DARAJA LIGI KUU

    IHEFU SC YAICHAPA DODOMA JIJI 1-0 UBARUKU NA KUJIONDOA KWENYE ENEO LA HATARI YA KUSHUKA DARAJA LIGI KUU

     BAO pekee la Andrew Simchimba dakika ya 18 kwa penalti jioni ya leo limetosha kuipa Ihefu SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC Uwanja ...
    Wednesday, May 19, 2021
    YACOUBA SOGNE NA TUISILA KISINDA WAFUNGA JAMHURI YANGA SC YAWACHAPA JKT TANZANIA 2-0 DODOMA

    YACOUBA SOGNE NA TUISILA KISINDA WAFUNGA JAMHURI YANGA SC YAWACHAPA JKT TANZANIA 2-0 DODOMA

     VIGOGO, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Jamhuri Jijin...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top