// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
YANGA SC YAZINDUKA NA KUICHAPA BIASHARA UNITED 1-0 BAO PEKEE LA YACOUBA SOGNE DAR - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEYANGA SC YAZINDUKA NA KUICHAPA BIASHARA UNITED 1-0 BAO PEKEE LA YACOUBA SOGNE DAR - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
YANGA SC YAZINDUKA NA KUICHAPA BIASHARA UNITED 1-0 BAO PEKEE LA YACOUBA SOGNE DAR
YANGA SC wamezinduka na kupata ushindi wa 1-0 dhidi ya Biashara United ya Mara usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee Mburkinabe. Yacouba Sogne dakika ya 58 akimalizia kwa kichwa krosi ya beki wa kushoto, Adeyoum Saleh, huo ukiwa ushindi wa kwanza kwa Yanga ndani ya mechi nne. Ushindi huo unaifanya Yanga SC ifikishe pointi 54 baada ya kucheza mechi 24 na kuendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi nne zaidi ya Azam FC ambayo hata hivyo imecheza mechi moja zaidi. Mabingwa watetezi, Simba SC ambao watamenyana na Mwadui FC mjini Shinyanga wanaendelea kushika nafasi ya tatu kwa pointi zao 49 za mechi 21.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment