// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
YANGA SC YAWATAMBULISHA WATUNISIA WAWILI KOCHA MKUU NA MSAIDIZI WAKE KUREJESHA MAKALI JANGWANI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEYANGA SC YAWATAMBULISHA WATUNISIA WAWILI KOCHA MKUU NA MSAIDIZI WAKE KUREJESHA MAKALI JANGWANI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
YANGA SC YAWATAMBULISHA WATUNISIA WAWILI KOCHA MKUU NA MSAIDIZI WAKE KUREJESHA MAKALI JANGWANI
KLABU ya Yanga SC leo imemtambulisha rasmi Mtunisia, Mohamed Nasreddine Nabi kuwa kocha wake mpya Mkuu, akichukua nafasi ya Mrundi, Cedric Kaze aliyefukuzwa mwezi uliopita. Pamoja na Nabi, Yanga imemtambulisha Mtunisia mwenzake, Sghir Hammadi kuwa Kocha Msaidizi, wote wawili wakisaini mkataba wa mwaka mmoja na nusu. "Nina furaha sana kuwa hapa, Yanga ni timu kubwa na nina matarajio makubwa ndani ya timu hii” amesema Nabi.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment