// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
VINICIUS APIGA MBILI REAL MADRID YAICHAPA LIVERPOOL 3-1 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEVINICIUS APIGA MBILI REAL MADRID YAICHAPA LIVERPOOL 3-1 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
VINICIUS APIGA MBILI REAL MADRID YAICHAPA LIVERPOOL 3-1
TIMU ya Real Madrid imeutumia vyema Uwanja wa nyumbani, Alfredo Di Stéfano Jijini Madrid baada ya kuichapa Liverpool mabao 3-1 katia mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa usiku wa Jumanne. Mabao ya Real Madrid ya kocha Mfaransa, Zinedine Zidane yamefungwa na Vinícius Júnior mawili dakika ya 27 na 65 na Marco Asensio dakika ya 36, wakati la Liverpool ya kocha Mjerumani, Jurgen Klopp limefungwa Mmisri, Mohamed Salah dakika ya 51. Timu hizo zitarudiana Aprili 14 Uwanja wa Anfield Liverpool wakitakiwa kushinda 2-0 kwenda Nusu Fainali. x
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment