SIMCHIMBA AIFUNGIA MABAO MAWILI IHEFU SC YAICHAPA COASTAL UNION 3-0 UWANJA WA HIGHLAND ESTATE
TIMU ya Ihefu SC imeichapa Coastal Union ya Tanga mabao 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Highland Estate, Ubaruku, Mbarali mkoani Mbeya. Mabao ya Ihefu SC yamefungwa na Andrew Simchimba mawili dakika ya 20 na 33 na Raphael Daudi dakika ya 36 na kwa ushindi huo timu hiyo iliyopanda Ligi Kuu msimu huu inafikisha pointi 30 baada ya kucheza mechi 28 na kupanda nafasi ya 13. Coastal Union yenyewe inabaki na pointi zake 33 za mechi 28 sasa katika nafasi ya 10.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment