// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
SAMATTA AFUNGA BAO PEKEE FENERBAHCE YASHINDA 1-0 KATIKA LIGI KUU YA UTURUKI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINESAMATTA AFUNGA BAO PEKEE FENERBAHCE YASHINDA 1-0 KATIKA LIGI KUU YA UTURUKI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
SAMATTA AFUNGA BAO PEKEE FENERBAHCE YASHINDA 1-0 KATIKA LIGI KUU YA UTURUKI
BAO pekee la Mbwana Ally Samatta leo limeipa Fenerbahçe ushindi wa 1-0 dhidi ya Denizlispor katika mchezo wa Ligi Kuu ya Uturuki Uwanja wa Ülker Fenerbahçe Şükrü Saracoğlu Spor Complex Jijini İstanbul. Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Tanzania mwenye umri wa miaka 28, alifunga bao hilo dakika ya 64 akimalizia pasi ya beki Mturuki, Caner Erkin. Kwa ushindi huo, Fenerbahçe inafikisha pointi 62 baada ya kucheza mechi 31 na kupanda nafasi ya pili ikizidiwa pointi mbili na Beşiktaş inayoongoza na mechi moja mkononi, wakati Denizlispor inayobaki na pointi zake 25 baada ya kucheza mechi 30 inaendelea kushika mkia.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment