MABINGWA watetezi, Simba SC wameendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuwahapa wenyeji, Kagera Sugar mabao 2-0 jioni ya leo katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Mabao ya Simba SC inayofundishwa na kocha Mfaransa, Didier Gomes Da Rosa yamefungwa na kiungo wa kimataifa wa Msumbiji, Luis Miquissone dakika ya 13 na mshambuliaji Mkongo, Chris Kope Mugalu dakika ya 24. Kwa ushindi huo, Simba SC inafikisha pointi 55 baada ya kucheza mechi 23, ingawa inabaki nafasi ya pili ikizidiwa pointi mbili na watani wao, Yanga SC ambao hata hivyo wamecheza mechi tatu zaidi.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment