// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
MAN UNITED YATOKA NYUMA NA KUICHAPA BRIGHTON 2-1 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEMAN UNITED YATOKA NYUMA NA KUICHAPA BRIGHTON 2-1 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
TIMU ya Manchester United imetoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Brighton &Hove Albion kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku huu Uwanja wa Old Trafford. Danny Welbeck alianza kuwafungia Brighton dakika ya 13, kabla ya Marcus Rashford kuisawazishia United dakika ya 62 na Mason Greenwood kufunga la ushindi dakika ya 83. Kwa ushindi huo, Man United inafikisha pointi 60 baada ya kucheza mechi 30, ingawa inabaki nafasi ya pili sasa ikizidiwa pointi 14 na mahasimu wao wa Jiji, Manchester City ambao hata hivyo wamecheza mechi moja zaidi.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment