// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
ARSENAL YAUA 4-0 NA KUTINGA NUSU FAINALI EUROPA LEAGUE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEARSENAL YAUA 4-0 NA KUTINGA NUSU FAINALI EUROPA LEAGUE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ARSENAL YAUA 4-0 NA KUTINGA NUSU FAINALI EUROPA LEAGUE
TIMU ya Arsenal imefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya UEFA Europa League baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji, Slavia Praha usiku huu Uwanja wa Sinobo Stadium Jijini Praha. Mabao ya Arsenal yamefungwa na Nicolas Pépé dakika ya 18, Alexandre Lacazette mawili, moja kwa penalti dakika ya 77 akimalizia pasi ya mfungaji wa bao la kwanza na Bukayo Saka dakika ya 24. Arsenal inasonga mbele kwa ushindi wa 5-1 baada ya sare ya 1-1 kwenye mchezo wa kwanza na itakutana na Villarreal iliyoitoa Dinamo Zagreb.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment