// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
IDDI NADO ASAINI MKATABA MPYA WA MIAKA MIWILI KUENDELEA KUPIGA KAZI KWENYE KIKOSI CHA AZAM FC - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEIDDI NADO ASAINI MKATABA MPYA WA MIAKA MIWILI KUENDELEA KUPIGA KAZI KWENYE KIKOSI CHA AZAM FC - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
IDDI NADO ASAINI MKATABA MPYA WA MIAKA MIWILI KUENDELEA KUPIGA KAZI KWENYE KIKOSI CHA AZAM FC
KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Idd Suleiman 'Nado' amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuichezea Azam FC. Nado alisaini mkataba huo jana mchana mbele ya Ofisa Mtendaji Mkuu, Abdulkarim Amin 'Popat', utakaomfanya aendelee kusalia Azam FC hadi mwaka 2024. Nado aliyejiunga na Azam FC msimu uliopita akitokea Mbeya City, amekuwa mchezaji muhimu kikosini na hadi sasa msimu huu akiwa amehusika kwenye mabao 12 ya timuhiyo, akifunga mara saba na kutoa pasi za mwisho tano.
Item Reviewed: IDDI NADO ASAINI MKATABA MPYA WA MIAKA MIWILI KUENDELEA KUPIGA KAZI KWENYE KIKOSI CHA AZAM FC
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment