// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
CHELSEA YATINGA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINECHELSEA YATINGA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
CHELSEA YATINGA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA
LICHA ya kuchapwa 1-0 na FC Porto jana, timu ya Chelsea ya England imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa ushindi wa jumla wa 2-1 katika mchezo wa kwanza wiki ilioypita, mechi zote zikichezwa Uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan Jijini Sevilla, Hispania. Bao la Porto jana lilifungwa na mshambuliaji wa kimataifa wa Iran, Mehdi Taremi dakika ya 90 na ushei na Chelsea sasa itakutana na mshindi wa jumla kati ya Real Madrid na Liverpool zinazomenyana leo Uwanja Anfield. Real ilishinda 3-1 mechi ya kwanza nyumbani.
Smith takes magnificent catch after first-ball drop
-
Watch Australia's Steve Smith take a "magnificent" diving catch to remove
India's KL Rahul after dropping him off the first ball on day four of the
third T...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment