// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
WERNER AING'ARISHA CHELSEA, YAICHAPA WEST HAM UNITED 1-0 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEWERNER AING'ARISHA CHELSEA, YAICHAPA WEST HAM UNITED 1-0 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
WERNER AING'ARISHA CHELSEA, YAICHAPA WEST HAM UNITED 1-0
BAO pekee la Timo Werner dakika ya 43 leo limeipa Chelsea ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, West Ham United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa London. Ni ushindi unaoifanya The Blues ifikishe pointi 58, ingawa inabaki nafasi ya nne, ikiwazidi Wagonga Nyundo wa London pointi tatu baada ya wote kucheza mechi 33.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment