// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
AZAM FC YAREJEA NAFASI YA PILI LIGI KUU BAADA YA KUICHAPA MTIBWA SUGAR 2-0 MABAO YOTE KAFUNGA PRINCE DUBE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEAZAM FC YAREJEA NAFASI YA PILI LIGI KUU BAADA YA KUICHAPA MTIBWA SUGAR 2-0 MABAO YOTE KAFUNGA PRINCE DUBE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
AZAM FC YAREJEA NAFASI YA PILI LIGI KUU BAADA YA KUICHAPA MTIBWA SUGAR 2-0 MABAO YOTE KAFUNGA PRINCE DUBE
AZAM FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Pongezi kwa mshambuliaji wa kimataifa wa Zimbabwe, Prince Dube Mpumelelo aliyefunga mabao yote hayo, la kwanza kwa penalti dakika ya tisa na lingine dakika ya 87 akimalizia pasi ya kiungo Mzanzibari, Mudathir Yahya Abbas. Kwa ushindi huo, Azam FC inafikisha pointi 47 baada ya mechi 25 na kupanda nafasi ya pili ikizidiwa pointi tatu na vigogo, Yanga SC ambao hata hivyo wana mechi mbili mkononi. Mabingwa watetezi, Simba SC ni wa tatu wakiwa na pointi 46 za mechi 20.
Item Reviewed: AZAM FC YAREJEA NAFASI YA PILI LIGI KUU BAADA YA KUICHAPA MTIBWA SUGAR 2-0 MABAO YOTE KAFUNGA PRINCE DUBE
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment