MESSI AFIKIA REKODI YA XAVI BARCA IKIICHAPA HUESCA 4-1
NAHODHA, Lionel Messi jana amefunga mabao mawili dakika ya 13 na 90 Barcelona ikiichapa Huesca 4-1 katika mchezowa LaLiga Uwanja wa Camp Nou, huku Muargentina huyo mwenye umri wa miaka 33 akifikia rekodi ya Xavi ya kuichezea timu hiyo mechi 767. Mabao mengine ya Barcelona yalifungwa na Antoine Griezmann dakika ya 35 na Oscar Mingueza dakika ya 53, wakati la Huesca lilifungwa Rafa Mir dakika ya 45 kwa penalti na kwa ushindi huo timu ya Katalunya inazidiwa pointi nne na vinara, Atletico MadridPICHA ZAIDI GONGA HAPA
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment