ANTHONY JOSHUA NA TYSON FURY WASAINI MKATABA KUPAMBANA
MABONDIA Waingereza Anthony Joshua na Tyson Fury wamesaini mkataba wa Pauni Milioni 200 kwa ajili ya pambano la kuunganisha mataji ya uzito wa juu – Promota wa Joshua, Eddie Hearn ametangaza jana. Joshua atatetea mataji yake ya WBA, IBF na WBO dhidi ya bingwa wa WBC, Fury katika tarehe itakayotajwa baadaye. Joshua amepoteza pambano moja tu kati ya 25 aliyocheza akipigwa na Andy Ruiz Jr Juni mwaka 2019, wakati Fury ana droo moja tu na Deontay Wilder katika mapambano yake 32PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment