// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); BARCELONA YAICHAPA OSASUNA 2-0, YAKAA NAFASI YA PILI LA LIGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BARCELONA YAICHAPA OSASUNA 2-0, YAKAA NAFASI YA PILI LA LIGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Sunday, March 07, 2021

        BARCELONA YAICHAPA OSASUNA 2-0, YAKAA NAFASI YA PILI LA LIGA


        TIMU ya Barcelona jana imepata ushindi wa ugenini wa 2-0 dhidi ya Osasuna, mabao ya Jordi Alba dakika ya 30 na Ilaix Kourouma dakika ya 83.
        Ushindi huo unaifanya Barca ifikishe pointi 56 baada ya kucheza mechi 26 na kuendelea kushika mafasi ya pili, ikizidiwa pointi mbili na Atletico Madrid ambao pia wana mechi mbili mkononi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: BARCELONA YAICHAPA OSASUNA 2-0, YAKAA NAFASI YA PILI LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry