
Wednesday, March 31, 2021

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samiah Suluhu Hassan amemteua Pauline Philipo Gekul kuwa Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamad...
MWANAYANGA NA MMILIKI WA SINGIDA UNITED, DK MWIGULU NCHEMBA ACHUKUA NAFASI YA DK MPANGO WIZARA YA FEDHA
Wednesday, March 31, 2021
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samiah Suluhu Hassan amemteua Dk Mwigulu Lameck Nchemba, Mlezi wa klabu ya Singida United kuwa...
RONALDO NA DIOGO JOTA WAFUNGA URENO YAICHAPA LUXEMBOURG
Wednesday, March 31, 2021
URENO imeichapa Luxembourg 3-1 katika mchezo wa A kufuzu Kombe la Dunia jana Uwanja wa Josy Barthel, Luxembourg. Mabao ya Ureno yalifungwa n...
UBELGIJI YAICHAPA BELARUS 8-0 KUFUZU KOMBE LA DUNIA
Wednesday, March 31, 2021
LICHA ya kuwapumzisha nyota wake kama Kevin De Bruyne, Romelu Lukaku na Dries Mertens, lakini Ubelgiji jana iliwachapa Belarus 8-0 katika mc...
TANZANIA YAJIWEKA PAZURI KUFUZU AFCON YA SOKA LA UFKWENI BAADA YA KUIPIGA BURUNDI 8-3
Wednesday, March 31, 2021
TANZANIA jana imeichapa Burundi 8-3 katika mcheza wa kwanza kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa soka la Ufukweni (AFCON - Beach...
Tuesday, March 30, 2021
ALIYELISIFIA BAO LA MORRISON BUNGENI ATEULIWA KUWA MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Tuesday, March 30, 2021
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan amewasilisha jina la Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpan...
Monday, March 29, 2021
MKENYA RAZACK SIWA ASAINI MKATABA WA KUWA KOCHA WA MAKIPA WA KLABU YA YANGA
Monday, March 29, 2021
KAIMU Katibu Mkuu wa Yanga SC, Hajji Mfikirwa akiwa ameshika nakala za mkataba pamoja na Razak Siwa (kulia) baada ya Mkenya huyo kuajiriwa k...
MBAPPE AKOSA PENALTI, LAKINI UFARANSA YASHINDA 2-0
Monday, March 29, 2021
PAMOJA na mshambuliaji wake nyota, Kylian Mbappe kukosa penalti dakika ya 75, lakini Ufaransa jana iliibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Kazak...
UJERUMANI YAICHAPA ROMANIA 1-0 KUFUZU KOMBE LA DUNIA
Monday, March 29, 2021
BAO pekee la Serge Gnabry dakika ya 16 jana liliipa Ujerumani ushindi wa 1-0 dhidi ya Romania Uwanja wa Taifa wa Bucuresti katika mchezo wa ...
TANZANIA 1-0 LIBYA (KUFUZU AFCON DAR)
Monday, March 29, 2021
Sunday, March 28, 2021
TAIFA STARS YAKAMILISHA MECHI ZAKE ZA KUFUZU AFCON KWA KUICHAPA LIBYA 1-0 BAO PEKEE LA MSUVA
Sunday, March 28, 2021
TANZANIA imekamilisha mechi zake za Kundi J kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya Libya leo Uwanja wa Ben...
Saturday, March 27, 2021
EQUTORIAL GUINEA 1-0 TANZANIA (KUFUZU AFCON)
Saturday, March 27, 2021
WACHEZAJI WA AZAM FC WANAVYOENDELEA KUJIFUA KUJIWEKA SAWA KUIVAA MTIBWA SUGAR APRILI 6 CHAMAZI
Saturday, March 27, 2021
Abdalllah Kheri (kushoto) akimdhibiti beki mwenzake, Mzimbabwe Bruce Kangwa katika mazoezi ya timu hiyo kujiandaa na mechi yao ijayo ya Ligi...
Friday, March 26, 2021
TAIFA STARS YATUPWA NJE AFCON YA CAMEROON MWAKANI BAADA YA KUPIGWA 1-0 NA EQUATORIAL GUINEA MJINI MALABO
Friday, March 26, 2021
TANZANIA imetupwa nje ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) baada ya kuchapwa 1-0 na wenyeji, Equatorial Guinea jana Uwanja wa Nu...
Thursday, March 25, 2021
UFARANSA YATOA SARE 1-1 NA UKRAINE KUFUZU KOMBE LA DUNIA
Thursday, March 25, 2021
UFARANSA imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Ukraine katika mchezo wa kwanza wa Kundi D kufuzu Kombe la Dunia kwa Ulaya jana Uwanja w...
Wednesday, March 24, 2021
BOSI WA SIMBA SC, MO DEWJI ALIVYOMUAGA ALIYEKUWA RAIS WA TANZANIA DK JOHN POMBE MAGUFULI
Wednesday, March 24, 2021
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Mohamed 'Mo' Dewji akiuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Tuesday, March 23, 2021
TAIFA STARS KATIKA MAZOEZI YA MWISHO NAIROBI KABLA YA KUWAFUATA EQUATORIAL GUINEA MECHI YA KUFUZU AFCON MALABO
Tuesday, March 23, 2021
WACHEZAJI wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakifanya mazoezi ya mwisho Uwanja wa Chuo cha Utalii, Nairobi, Kenya, kabla ya ...
Monday, March 22, 2021
ARSENAL YATOKA NYUMA 3-0 KUPATA SARE YA 3-3 NA WEST HAM
Monday, March 22, 2021
TIMU ya Arsenal jana imetoka nyuma kwa mabao matatu na kupata sare ya 3-3 na West Ham United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa ...
LEICESTER CITY YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND
Monday, March 22, 2021
TIMU ya Leicester City imetinga Nusu Fainali ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Manchester United Uwanja wa King Power,...
Sunday, March 21, 2021
BOSI MKUBWA WA AZAM FC AUNGANA NA WATANZANIA WENGINE KUMUAGA ALIYEKUWA RAIS WA TANZANIA DK JOHN MAGUFULI
Sunday, March 21, 2021
Mtendaji Mkuu wa Bakhresa Group, Abubakar Bakhresa (katikati), wamiliki wa Azam FC akiwa na Mkurugenzi wa Mahusiano wa kampuni hiyo, Hussein...
WACHEZAJI WA YANGA SC WALIVYOUAGA MWILI WA ALIYEKUWA RAIS WA TANZANIA, DK JOHN POMBE MAGUFULI
Sunday, March 21, 2021
KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi, Abdul Razak Fiston akiwoangoza wachezaji wenzake na Maafisa mbalimbali kwenda kuuaga mwili wa...
MAN CITY YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND
Sunday, March 21, 2021
TIMU ya Manchester City imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Everton kwenye mchezo wa Lig...
Saturday, March 20, 2021
RAIS WA TFF, WALLACE KARIA ALIPOTOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI MSIBA WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DK JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI
Saturday, March 20, 2021
RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, akisaini kitabu cha waombolezaji kwenye msiba wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muun...
Friday, March 19, 2021
ARSENAL YAPIGWA LONDON, LAKINI YATINGA ROBO FAINALI
Friday, March 19, 2021
BAO pekee la Youssef El-Arabi dakika ya 51 jana liliipa Olympiacos ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Arsenal katika mchezo wa marudiano Hatua...
POGBA AIPELEKA MAN UNITED ROBO FAINALI EUROPA LEAGUE
Friday, March 19, 2021
BAO pekee la Paul Pogba dakika ya 48 liliipa Manchester United ushindi wa 1-0 dhidi ya AC Milan katika mchezo wa marudiano Hatua ya 16 Bora ...
MAMA SAMIAH SULUHU HASSAN AAPISHWA KUWA RAIS WA SITA WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Friday, March 19, 2021
Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Tanzania na Jaji Ibrahim Juma katika Ikulu ya Jijini Dar es Salaam. Mama Samia ameapishwa katika h...
Thursday, March 18, 2021
MSIBA MZITO, RAIS WA TANZANIA DK JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AFARIKI DUNIA
Thursday, March 18, 2021
CHANZO CHA PICHA, AFP Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ameaga dunia. Kifo cha Magufuli kimetangazwa rasmi J...
Wednesday, March 17, 2021
NAMUNGO FC YAPIGWA TENA MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO, YACHAPWA 2-0 NA PYRAMIDS YA MISRI LEO DAR
Wednesday, March 17, 2021
MABAO ya Ramadhani Sobhi dakika ya 71 kwa penalti na Omar Gaber dakika ya 84 leo yameipa Pyramids FC ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Namung...
SIMON MSUVA ATAMANI KUKUTANA NA SIMBA SC KATIKA ROBO FAINALI YA LIGI YA MABINGWA AFRIKA
Wednesday, March 17, 2021
KIUNGO wa zamani wa Yanga SC, Simon Happygod Msuva amesema atafurahi kukutana na timu ya nyumbani, Simba SC katika Robo Fainali ya Ligi ya M...
MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA THABIT MJENGWA
Wednesday, March 17, 2021
REAL MADRID YATINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA
Wednesday, March 17, 2021
TIMU ya Real Madrid imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Ligi ya Mbingwa Ulaya baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Atalanta kwenye mchezo wa maru...
MANCHESTER CITY YATINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA
Wednesday, March 17, 2021
MABAO ya Kevin De Bruyne dakika ya 12 na Ilkay Gundogan dakika ya 18 jana yaliipa Manchester City ushindi wa 2-0 dhidi ya Borussia Monchengl...
SIMBA SC 3-0 EL MERREIKH (LIGI YA MABINGWA AFRIKA)
Wednesday, March 17, 2021
Tuesday, March 16, 2021
SIMBA YAITANDIKA EL MERREIKH 3-0 DAR NA KUTANGULIZA MGUU MMOJA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA
Tuesday, March 16, 2021
Na Asha Kigundula, DAR ES SALAAM MABINGWA wa Tanzania, Simba SC jana wameendeleza furaha kwa mashabiki wake baaada ya ushindi wa 3-0 dhidi y...
MESSI AFIKIA REKODI YA XAVI BARCA IKIICHAPA HUESCA 4-1
Tuesday, March 16, 2021
NAHODHA, Lionel Messi jana amefunga mabao mawili dakika ya 13 na 90 Barcelona ikiichapa Huesca 4-1 katika mchezowa LaLiga Uwanja wa Camp Nou...
ANTHONY JOSHUA NA TYSON FURY WASAINI MKATABA KUPAMBANA
Tuesday, March 16, 2021
MABONDIA Waingereza Anthony Joshua na Tyson Fury wamesaini mkataba wa Pauni Milioni 200 kwa ajili ya pambano la kuunganisha mataji ya uzito ...
LIVERPOOL YAWACHAPA WOLVES 1-0 PALE PALE KWAO MOLINEUX
Tuesday, March 16, 2021
BAO pekee la Diogo Jota dakika ya 45 na ushei akimalizia pasi ya Sadio Mane jana liliipa Liverpool ushindi wa 1-0 dhidi ya Wolverhampton Wan...
Monday, March 15, 2021
TAIFA STARS YACHAPWA 2-1 NA HARAMBEE SRARS KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI LEO NAIROBI
Monday, March 15, 2021
WENYEJI, Kenya wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Tanzania katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa jioni ya leo Uwania wa Nyayo Jijini Nair...
ARSENAL YATOKA NYUMA NA KUWACHAPA SPURS 2-1 EMIRATES
Monday, March 15, 2021
TIMU ya Arsenal jana imewaadhibu wapinzani wao wa Kaskazini mwa London, Tottenham Hotspur kwa kuwachapa mabao 2-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ...
MAN UNITED YAICHAPA WEST HAM UNITED 1-0 OLD TRAFFORD
Monday, March 15, 2021
BAO pekee la kujifunga la Craig Dawson dakika ya 53 jana liliipa Manchester United ushindi wa 1-0 dhidi ya West Ham United katika mchezo wa ...
Sunday, March 14, 2021
GWAMBINA FC YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA POLISI TANZANIA MISUNGWI, LEO NI PRISONS NA JKT SUMBAWANGA
Sunday, March 14, 2021
BAADA ya Gwambina FC kulazimishwa suluhu na Polisi Tanzania Misungwi mkoani Mwanza jana – Ligi Kuu ya Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea le...
BENZEMA APIGA ZOTE MBILI REAL MADRID YASHINDA 2-1 LA LIGA
Sunday, March 14, 2021
TIMU ya Real Madrid jana iliibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Elche katika mchezo wa Ligi Kuu ya Hispania Uwanja wa Alfredo Di Stefano Jijini...
BINGWA WA DUNIA WA ZAMANI NDONDI ZA KULIPWA AFARIKI DUNIA
Sunday, March 14, 2021
BINGWA wa ngumi za kulipwa wa dunia wa zamani uzito wa Middle, Marvin Nathaniel Hagler, amefariki dunia jana akiwa ana umri wa miaka 66 – mk...
CHELSEA YAAMBULIA SARE YA 0-0 KWA LEEDS UNITED
Sunday, March 14, 2021
TIMU ya Leeds United jana ililazazimishwa sare ya 0-0 na Chelsea katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Elland Road PICHA ZAIDI GO...
Subscribe to:
Posts (Atom)