BAO la penalti la Mrundi, Fiston Abdul Razak limeipa Yanga SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Ken Gold katika mchezo wa Hatua ya 32 Bora Azam Sports Federation Cup jioni ya leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
Yanga SC inasonga mbele Hatua ya 16 Bora na itakutana na mshindi kati ya Sahare All Stars na Tanzania Prisons zinazomenyana kesho.
Zamfara: FUG Gusau appoints first female registrar
-
From John Bassey, Gusau The Governing Council of Federal University Gusau
(FUG), Zamfara State, has appointed Hajiya Nafisa Barau Suleiman as the
univers...
10 minutes ago
0 comments:
Post a Comment