// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
REAL MADRID YAICHAPA VALENCIA 2-0 KATIKA LA LIGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEREAL MADRID YAICHAPA VALENCIA 2-0 KATIKA LA LIGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
MABAO ya Karim Benzema dakika ya 12 na Toni Kroos dakika ya 42 jana yaliipa Real Madrid ushindi wa 2-0 dhidi ya Valencia katika mchezo wa La Liga Uwanja wa Alfredo Di Stéfano Jijini Madrid. Kwa matokeo hayo, Real Madrid inafikisha pointi 49 baada ya kucheza mechi 23 na kurejea nafasi ya pili, sasa ikizidwa pointi sita na vinara, Atletico Madrid ambao hata hivyo wana mechi mbili mkononiPICHA ZAIDI GONGA HAPA
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment